Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Kwa mujibu wa takwimu ambazo zimetolewa na mtandao wa Result Sports ambao unajihusisha na utoaji takwimu za wanamichezo, klabu, ligi na mashirikisho, umeitaja klabu ya Simba SC kuwa ya 151 duniani kwa kuwa na wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii ikiongozwa na Barcelona ya Hispania na ikishika nafasi ya 8 Afrika ikiongozwa na klabu ya Al Ahly ya Misri na namba1 kwa Afrika Mashariki na Kati.