Result Sports waitaja Simba SC kuwa ya 151 duniani, kuwa na wafusi wengi kwenye mitandao ya kijamii

Yaani watu wakaa na akili zao wanaumiza vichwa kwa takwimu halafu wewe unaita porojo? Halafu ukiambiwa Barcelona inawafuasi wengi inamaana haifungwi?
 
Wanasimba maijisifu sana mkasahau hata yanga walikuwa na mashabiki lukuki. Enzi Manji Yangaikiwa inaahinda.
 
Wewe aliyekuambia timu kubwa haifungwi nani? Ndivyo mlivyo. Watu wanaongelea ranking mbalimbali mwenzetu unasema kufungwa na timu ndogo. Lipuli ilyowahi kukufunga timu kubwa?? Jitahidi kujadili kilicho mezani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli Yanga ina mashabiki wengi Wazeee wenye Umri mkubwa, wakoloni haswaaaa na Wamefulia pia na wengi wao wanatumia Vitochi hao akiwa Kijana ujue ni yule tegemezi kwa Mzeee baba Mwanayanga.
 
wenye akili wanashindana kwa ubora wa timu uwanjani, mambumbumbu yanashindania idadi ya washabiki mitandaoni.
 
Wewe ni mwehu tu, kila kitu kina takwimu, hata nyie wabovu ipo idadi yenu..!
wenye akili wanashindana kwa ubora wa timu uwanjani, mambumbumbu yanashindania idadi ya washabiki mitandaoni.
 
Saa zingine Bodaboda Fc mnashangalia mambo ya kusadikika sasa kama ni ya 51 wewe shabiki pishi yako imeongezeka?
 
Wa matopeni tufanye ninyi ni kwanza duniani kuwa na mashabiki mbumbumbu kama alivyowaita Aden Rage tuache hiyo 151 wakati mwingine uwe na akili ngumu kuishabikia simba maana inakutoa ufahamu Timu oekee ya kihistoria na nchi hii inajulikana timu ya wananchi
 
Hivi umesoma ulichoandika? Hata hivyo kuandika tu huwezi, je utaelewa kitu kwenye hili..Chura we!
 
Mkuu Scars Leo nilikuwa na Majukumu kidogo nilikosa kabisa muda, tutakuwa pamoja kwa michezo mingine inayofuatia..NguvuMoja
Mkuu Leo mbona hujafungua uzi wa updates kati ya simba na mwadui

It's Scars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…