Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
- Thread starter
- #21
Yaani watu wakaa na akili zao wanaumiza vichwa kwa takwimu halafu wewe unaita porojo? Halafu ukiambiwa Barcelona inawafuasi wengi inamaana haifungwi?Jamani acheni porojo za kwenye mitandao. Nyie ndio mnasabaisha hata wachezaji wajione wako zaidi ya Barcelona kumbe safari bado. Timu yenyewe hiyo mnayoisifu kila kukicha mara ina washabiki mara inaweza kuifunga Real Madrid mara ni ya 2 duniani kwa ubora wakati inafungwa na vitimu visivyojulikana.