Bukwabi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 3,352
- 1,148
ndo mume wa mobeto ehhhh????? kaumbea kdg usnshushueeeeeee
Asante kwa kunijuza mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndo mume wa mobeto ehhhh????? kaumbea kdg usnshushueeeeeee
The same hata kwenye organizationMkuu mtazamo shughuli ya kuibua vipaji hufanywa na redio ndogo ambazo hazina fungu. Radio na Tb kubwa huchukua majembe yaliyotayari. Kijana usikariri hiyo siyo soka kwamba uwe na academy. Nahofia hata wake utasema tuwaibue primary tuwadomeshe hadi chuo kikuu ndo tuoe.
Mkuu mtazamo shughuli ya kuibua vipaji hufanywa na redio ndogo ambazo hazina fungu. Radio na Tb kubwa huchukua majembe yaliyotayari. Kijana usikariri hiyo siyo soka kwamba uwe na academy. Nahofia hata wake utasema tuwaibue primary tuwadomeshe hadi chuo kikuu ndo tuoe.
Kwa uelewa wangu Jembe FM (Mwanza) ni radio ya Sebastian Ndege na huyu Reuben Ndege kama sikosei ni mdogo wa jamaa
Hapa inakuaje ina maana jamaa katosa kwa Bro???
wote nawapata mkuu seba mwenye jembe ni jembe na Reuben aliezaa na Dina Marios. Nasema hivyo kwasababu kuna siku niliona interview yake akasema anajishughulisha na mambo ya basket kama sikosei that is why nilisema hvyo.Nadhani utakuwa unamaanisha Sebastian Ndege ambae alikuwa na kipindi cha Njiapand?, huyu ni Reuben Ndege anaezungumziwa
Hakuna kikubwa kama kuvumbua talent mpya badala ya kuiba ready made kila siku.....ni ngumu sana kuwafanya watu kama hawa waji tune kwenye philosophy mpya..... Majey atapata changamoto kubwa kuwaunganisha mastaa aliowachota kuwa kitu kimoja, kuheshimu wadogo, na kufata na kuheshimu falsafa mpya.....Clouds fm wamefanikiwa hili muda mrefu na lazima bila chuki tukubali hili.....
businessman hana muda wa kuvumbua vipaji, inakuwa hailipi kibiashara. ndiyo maana makampuni makubwa huajiri watu wenye experience ya kutosha.Hakuna kikubwa kama kuvumbua talent mpya badala ya kuiba ready made kila siku.....ni ngumu sana kuwafanya watu kama hawa waji tune kwenye philosophy mpya..... Majey atapata changamoto kubwa kuwaunganisha mastaa aliowachota kuwa kitu kimoja, kuheshimu wadogo, na kufata na kuheshimu falsafa mpya.....Clouds fm wamefanikiwa hili muda mrefu na lazima bila chuki tukubali hili.....
businessman hana muda wa kuvumbua vipaji, inakuwa hailipi kibiashara. ndiyo maana makampuni makubwa huajiri watu wenye experience ya kutosha.
Dj majizo ndo mmiliki
Okay mkuu, taarifa zake za karibuni nilikuwa sina nikiwa nadhani bado yupo kulewote nawapata mkuu seba mwenye jembe ni jembe na Reuben aliezaa na Dina Marios. Nasema hivyo kwasababu kuna siku niliona interview yake akasema anajishughulisha na mambo ya basket kama sikosei that is why nilisema hvyo.
Dj majizo ndo mmiliki
businessman hana muda wa kuvumbua vipaji, inakuwa hailipi kibiashara. ndiyo maana makampuni makubwa huajiri watu wenye experience ya kutosha.
Hata tumpe miaka 100 majizo hawezi kumiliki E-FM,Joshua ndio mmiliki wa Maisha Club Pamoja na E-FM,Ruge na Joe wanamjua sana maana aliwasaidia sana kuwaletea wasaniii wa nje.
Mzeeeiiiyaaaaa....!jamaa ni creative sana naamini atawasaidia sana E-Fm kwenye safari yao ya kukua.
upo sahihi kabisa..Hakuna kitu kibaya kama kukimbilia kujenga tahasisi kwa nguvu ya watu badala ya kujenga system....Redio ni vipindi, ukifanikiwa kujenga vipindi vinavyovutia raia umefanikiwa kujenga redio yako...Hii ya kutumia majina ya watu ni mbaya wakianza kukimbia na redio inakufa.
Mimi nawashauri EFM wawekeze kwenye ubunifu wa vipindi, coz vipindi vyao havivutii kabisa nafikiri wanaitaji program manager mzuri zaidi kuliko awa watangazaji waliochokwa tayari. Wajifunze kwa Cloudsfm na IPP Media wanajenga vipindi zaidi kuliko kutegemea watu.
Dina MARIOS yuko CAPITAL RADIO