Reuben Ndege (Ncha Kali) atua E-FM

Reuben Ndege (Ncha Kali) atua E-FM

Kwa uelewa wangu Jembe FM (Mwanza) ni radio ya Sebastian Ndege na huyu Reuben Ndege kama sikosei ni mdogo wa jamaa
Hapa inakuaje ina maana jamaa katosa kwa Bro???
 
Mkuu mtazamo shughuli ya kuibua vipaji hufanywa na redio ndogo ambazo hazina fungu. Radio na Tb kubwa huchukua majembe yaliyotayari. Kijana usikariri hiyo siyo soka kwamba uwe na academy. Nahofia hata wake utasema tuwaibue primary tuwadomeshe hadi chuo kikuu ndo tuoe.
 
The same hata kwenye organization
 
Mkuu mtazamo shughuli ya kuibua vipaji hufanywa na redio ndogo ambazo hazina fungu. Radio na Tb kubwa huchukua majembe yaliyotayari. Kijana usikariri hiyo siyo soka kwamba uwe na academy. Nahofia hata wake utasema tuwaibue primary tuwadomeshe hadi chuo kikuu ndo tuoe.

Ni kweli mkuu, na pia inavuta attention ya watu kwa kunipanga zaidi hata kama utakuja kuwa na hivyo vipaji lakini ushakuwa na back ground nzuri.
 
Kwa uelewa wangu Jembe FM (Mwanza) ni radio ya Sebastian Ndege na huyu Reuben Ndege kama sikosei ni mdogo wa jamaa
Hapa inakuaje ina maana jamaa katosa kwa Bro???

reuben na seba ni watu wawili tofauti...sio ndugu kabsa..
 
Nadhani utakuwa unamaanisha Sebastian Ndege ambae alikuwa na kipindi cha Njiapand?, huyu ni Reuben Ndege anaezungumziwa
wote nawapata mkuu seba mwenye jembe ni jembe na Reuben aliezaa na Dina Marios. Nasema hivyo kwasababu kuna siku niliona interview yake akasema anajishughulisha na mambo ya basket kama sikosei that is why nilisema hvyo.
 
Hakuna kikubwa kama kuvumbua talent mpya badala ya kuiba ready made kila siku.....ni ngumu sana kuwafanya watu kama hawa waji tune kwenye philosophy mpya..... Majey atapata changamoto kubwa kuwaunganisha mastaa aliowachota kuwa kitu kimoja, kuheshimu wadogo, na kufata na kuheshimu falsafa mpya.....Clouds fm wamefanikiwa hili muda mrefu na lazima bila chuki tukubali hili.....

Safi mkuu siongezi neno..
 
Radio one stereeooo! ITV au Ipp media imetoa watu wengi sana ambao wanatamba ndani na nje ya mipaka yetu. Hawa wengine ni km vijito vya msimu, wakati wa jua hukauka.
 
Hakuna kikubwa kama kuvumbua talent mpya badala ya kuiba ready made kila siku.....ni ngumu sana kuwafanya watu kama hawa waji tune kwenye philosophy mpya..... Majey atapata changamoto kubwa kuwaunganisha mastaa aliowachota kuwa kitu kimoja, kuheshimu wadogo, na kufata na kuheshimu falsafa mpya.....Clouds fm wamefanikiwa hili muda mrefu na lazima bila chuki tukubali hili.....
businessman hana muda wa kuvumbua vipaji, inakuwa hailipi kibiashara. ndiyo maana makampuni makubwa huajiri watu wenye experience ya kutosha.
 
EFM wanajifanya Real Madrid, Redio One na RFA wanajifanya Arsenal
 
wote nawapata mkuu seba mwenye jembe ni jembe na Reuben aliezaa na Dina Marios. Nasema hivyo kwasababu kuna siku niliona interview yake akasema anajishughulisha na mambo ya basket kama sikosei that is why nilisema hvyo.
Okay mkuu, taarifa zake za karibuni nilikuwa sina nikiwa nadhani bado yupo kule
 
businessman hana muda wa kuvumbua vipaji, inakuwa hailipi kibiashara. ndiyo maana makampuni makubwa huajiri watu wenye experience ya kutosha.

Clouds ilipoanza akina Amina Chifupa, Fina Mango, ML Chriss , OJ , n.k walikuwa na experience gani? Unajua walivyowaibua akina Gadner Habash ambaye baadae wakaiva na kuwapika akina B12, Vivian (rip) n.k .....Kuajiri maveteran kama hao sawa lakini ikipitiliza inaharibu .......
 
Hata tumpe miaka 100 majizo hawezi kumiliki E-FM,Joshua ndio mmiliki wa Maisha Club Pamoja na E-FM,Ruge na Joe wanamjua sana maana aliwasaidia sana kuwaletea wasaniii wa nje.

E fm inamilikua kwa share za watu kadhaa Majizzo akiwemo...
 
upo sahihi kabisa..Hakuna kitu kibaya kama kukimbilia kujenga tahasisi kwa nguvu ya watu badala ya kujenga system....Redio ni vipindi, ukifanikiwa kujenga vipindi vinavyovutia raia umefanikiwa kujenga redio yako...Hii ya kutumia majina ya watu ni mbaya wakianza kukimbia na redio inakufa.

Mimi nawashauri EFM wawekeze kwenye ubunifu wa vipindi, coz vipindi vyao havivutii kabisa nafikiri wanaitaji program manager mzuri zaidi kuliko awa watangazaji waliochokwa tayari. Wajifunze kwa Cloudsfm na IPP Media wanajenga vipindi zaidi kuliko kutegemea watu.

Ukshajenga system ndio unatafuta watangazi wawili watatu ambao ni nguli kwenye tasnia ili kuja kujenga uwezo hawa underground. Though hawa jamaa approach waliyotumia ni kuinadi radio yao kwa nguvu ya watangazaji wenye uwezo
 
Back
Top Bottom