Reuters na AFP wanafanyaje kazi mpaka kinakuwa chanzo cha kuaminika kwa breaking news?

Reuters na AFP wanafanyaje kazi mpaka kinakuwa chanzo cha kuaminika kwa breaking news?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Mashirika ya habari makubwa yapo mengi ukitoa BBC na aljazeera Kuna hawa AP na Reuters ila inawezekanaje mpaka wakati mwingine hawa kina BBC na kina aljazeera wananukuu kutoka kwa kina Reuters zile habari za motomoto kabisa ambazo zimetokea hivi punde mfano habari za ndani ya ikulu ya Washington unakuta wa kwanza ku report ni kina Reuters

Je, waandishi wao wanakuwa na ka office Chao kadogo ndani ya ikulu ama wanatumia njia gani haswa mpaka kuaminika kupewa habari zinazotokea ndani ya dakika?

Najua kina BBC wenyewe muundo wao mpaka waka Hariri kwanza habari ila pia wako live site ila imekuwaje reuters wamedominate sana kwenye angle ya breaking news na sijawahi kusikia wamepotosha zao ni za fasta za moto za zinakuwa za ukweli na uhakika.
 
Back
Top Bottom