Rev. Moses Maghembe ajitoa T.A.G

Msikilize na Maghembe mwenyewe then utapata hitimisho jema lisilo na mawaa
 
Msikilize na Maghembe mwenyewe then utapata hitimisho jema lisilo na mawaa
Maghembe na mwanaye niliwasikiliza kabla ya TAG. Nimehitimisha kwamba Maghembe alikuwa na ajenda.

Ni kama familia yake ilichukuliwa uchungaji kama ajira. Mwanaye anasema walitathmini watanufaika vipi na nguvu anayowekeza baba yao TAG Majumbasita ikiwa baba yao hatakuwepo. Ukiwa objective unaona hiki ndio chanzo cha yote. Hayo mengine ni hoja anazotaka kujifichia tu. Ndio maana hata kwenye nyaraka zake anasema "kunyanyaswa" ndio chanzo.

Amekiri kuyaambia makanisa kwamba yamekufa. Hizo ni lugha za kisiasa. Mwanaye Maghembe ametukana TAG kwamba ni wapuuzi na washenzi, umesikia baba yake akikemea mwanaye?

Wametajwa kutumia TAG kukusanya michango ya hilo kanisa lao. Kimazingira hilo linawezekana. Umesikia wakikanusha hilo?
 
Hapana sijaya sikia haya yote. Jana Maghembe alikuja na hoja zake tano na ya kwanza ni uamsho.

Nadhani inatosha kuyazungumzia haya.
Ahsante kwa yale uliyonijuza kutoka kwa mtoto wake.
 
Hapana sijaya sikia haya yote. Jana Maghembe alikuja na hoja zake tano na ya kwanza ni uamsho.

Nadhani inatosha kuyazungumzia haya.
Ahsante kwa yale uliyonijuza kutoka kwa mtoto wake.
Kitu nimejifunza hapa ni hii huduma ya injili inaonekana kulipa sana. Mchungaji anapokuwa maarufu return ya uwekezaji inakuwa maradufu. Sasa kanisa likibaki kuwa chini ya jimbo mchungaji anaona kama anawachumia wengine. Maana siku asipokiwepo au kuamua kuacha huduma mali za kanisa ataiacha, hiyo ni kwa mujibu wa katiba
 
Mwendo ni ule ule tuu
 
Nilichogundua ni hichi.....
1. TAG kilokole ni kama imekufa! (Hivyo mahubiri ya Maghembe yalikuwa ni mwiba mchungu kwa viongozi na waumini wa TAG)

2. TAG ni shamba la marehemu bibi (Maghembe ametumia hiyo nafasi kutengeneza jukwaa la kuanzisha dhehebu lake, na wahubiri wengi wa TAG baada ya kupata umaarufu walichomoka na kijiji cha waumini wa TAG kwenda kuanzisha madhehebu yao)

3. Mfumo wa TAG umekaa kinyonyaji kwa wahubiri wake. (Wahubiri wake wanatumika kulikuza dhehebu la TAG, lakini mwisho wa siku watatupwa pembeni na wengine watakula mema na kutafuna kama keki)
 
UKISIKIA TU KITU KINAITWA DHEHEBU WEWE JUA HIYO NI NYUMBA YA IBADA YA IBILISI SHETANI ... SHETANI NDIYO MMILIKI WA MADHEHEBU YOTE ULIMWENGUNI
😳😳 Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!?? Umesemaaaaaaa!?? πŸ₯ΊπŸ₯Ί Sijakusikiaaaaaa!!!???
 
Kanisa la T.A.G hujiona wako sahihi kwa kila kitu na kujihesabia haki. Hata wakisahihishwa wanaona wamekosewa
Kula chuma hicho.....
 

Attachments

  • AQMaqwCXoJvLzgLfupnvRtuv2TvM1MAnn1hYYRsA4jfY4YamcmXzMH0b10wo8YuiDWpiun06yB47IFsV2n85Wcbv.mp4
    10.7 MB
Wako wapi mkuu, tusaidie kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…