Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Ebhana eeh hii stori pekee ambayo toka nijiunge na jamii forum imenisisimua sana na kujiona mimi kumbw nafanana
akili na huyu jamaa... hongera sana mkuu.., nina iman wewe ni mshabiki wa hip hop
maana ungekuwa sio mtu wa hip hop usingeweza kukaza kiasi icho.
 
Mimi siwezi.

Na wewe willingly kabisa unaenda chovya kwa mwanamke mwingine kweli!

Hata sisi tuna mioyo ya nyama,hatuna mioyo ya chuma ama mbao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi naweza nikaamua nikala then nikasepa,dah ila mwanamke wangu kweli aliwe siwezi samehe.
Wewe ukitoka na mtu utatoka nae tena
 
Mimi naweza nikaamua nikala then nikasepa,dah ila mwanamke wangu kweli aliwe siwezi samehe.
Wewe ukitoka na mtu utatoka nae tena
Hata yeye anaweza akaliwa na akasepa.

Usitende yale usiyopenda kitendewa na mwenzio.

Ukitaka mtu mwema basi Anza wewe kuwa mwema.

Hakuna mwenye uhalali wa kutenda dhambi,awe mwanamke au mwanaume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata yeye anaweza akaliwa na akasepa.

Usitende yale usiyopenda kitendewa na mwenzio.

Ukitaka mtu mwema basi Anza wewe kuwa mwema.

Hakuna mwenye uhalali wa kutenda dhambi,awe mwanamke au mwanaume.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi sana mama,ila always mwanamke ndo rahisi sana kutoka nje ya mstari.
 
Achana nao hao mafala

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Usisahau kuleta mrejesho

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna atakacholipwa maana alishamuachia Yule demu moyoni

Ulitaka warudiana nae ili weje

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…