Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Very true mkuu ... Bora ujue huyu Malaya kuliko hawa ma drama queen ...Uchunguzi ni lazima haswa kwa watu wenye misimamo yetu, yaani mwanamke anayecheat kwangu ni hatari kuliko malaya aneyefahamika maana huwezi wekeza kwa malaya
Ila we jamaa ikitokea nafasi kule ukanda wa Gaza omba, tena utapewa cheo ndani ya wiki moja!! Nna misimamo ila hii yako imepitiliza...TUENDELEE...
Nikaona mambo yasiwe mengi, nikamwambia poa aende akamrudishe rafiki yake kwenye ndoa yake and mimi nitamfkiria kuhusu ombi lake, nilishajua tayari ashakuwa dhaifu kwangu so hawezi kunizid maujanja, hata km anasema uongo bado hauwez kuniathiri maana lazima nimzid akili, kwanza ananipenda kimapenz hivyo tayari yupo kwenye ugonjwa wa akili hawezi kushindana namimi mwenye akili timamu, and nikapanga kabisa kwamba siwezi kuwa naye yule manzi.
Akaenda akamdanganya kwamba nimepata ajali na nina hali mbaya nimekimbizwa India, na kwa jinsi hali ilivyo sijui km nikipona nitabaki na uwezo wa kufanya chochote Kwahiyo akamwambia rafiki yake akakomae tu na ndoa yake, na akaishi na yule mwanaume maana kwangu tena maji yameshamwagika, binti akaona hakuna jinsi akarudi kwa mume wake, jamaa ndo hivyo akampokea maana ndo km anakopatia ridhiki, nasikia kumbe kipindi anakuja huku alikuwa tayari kanasa ujauzito wa mshikaji, ndo huyu rafiki yake akawa ananiambia alikuja kugundua baadaye km ni mjamzito means km mimi ningejichangnya kuwa naye kipind hiki basi ningetupiwa hilo zigo kumbe la mume wake huko.
Japo binti hana amani kwenye ndoa ile so dizain km anapanga mbinu amtoroke aende akaishi maisha yake peke yake. Huyu rafiki yake akaniambia yupo kwenye process ya kutoa ile mimba maana hataki kuzaa na mshkaji wake, then apotee kokote akaishi mwenyewe. By the way hainuhusu hiyo sasa, azae asizae, aishi au aondole anajua yeye.
Maisha yangu yameanza upya na dizain km yule demu karidhika na kuamin kwamba sipo nchini nipo India kwa matibabu, maana baadaye ikanilazimu nibadili tena namba za simu, sasa mtihan ninao kwa huyu rafiki yake maana ananipenda na anataka nitimize ahad maana kazi ameshaifanya. Hadi leo sijamla na sitamla, na hili kwangu ni dogo sana na nitalimaliza tu kirahisi.
Nimepata aman sana na sikumbuki ubaya na maumivu yote aliyonitendea yule binti, nimeridhika kwa hiki.
Yapo mambo mengine nimeyaexclude maana stori ingekuwa ndefu sana, ahsanten kwa kunifuatilia tangu mwaka 2017 hadi leo 2021.
MWISHO,
Mkuu achana nao ni wapuuzi hawajui mapenzi yanavyouma, haswa kwa mtu ulompenda na kujitolea kwake kw moyo wote.Kuna watu humu wananiita mimi katili lakin wanasahau ukatili niliifanyiwa na huyu binti, mazee huyu binti nimewahi kumpa million 1 na laki 2 kwaajili ya kumsaidia kweny msala fulan, nikiona itafaa nitaujumuisha huko mbele. Nilimpenda na kumpa good life la viwango vya juu. Acheni nyie
Mkuu japo inaonekana uchumi wako upo njema lakini ikitokea kazi ya KUNYONGA WATU MAGEREZANI OMBA uendeleze kipaji chako uifanye Kama hobby tu
Una roho mbaya shetani anasubiri.Sijui wewe ni mpagani maana hata neno la msamaha kwako limekupita kushoto utadhani hujawahi kutenda dhambi.Wanawake wenzangu ombeni sana Mungu msipate na mijianaume kama hii haishindwi kukuchoma na gunia tano za mkaa.Kisasi gani hicho kisichokwisha?
Ndo mtulizaneUna roho mbaya shetani anasubiri.Sijui wewe ni mpagani maana hata neno la msamaha kwako limekupita kushoto utadhani hujawahi kutenda dhambi.Wanawake wenzangu ombeni sana Mungu msipate na mijianaume kama hii haishindwi kukuchoma na gunia tano za mkaa.Kisasi gani hicho kisichokwisha?
Shida ni binti kutaka kutoa 0713Dhambi ni dhambi..hakuna mwenye uhalali was kufanya .
Mkuki kwa nguruwe....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ningekua mie navyopenda ngono rafiki yake ningeshatomba.....Ila we jamaa ikitokea nafasi kule ukanda wa Gaza omba, tena utapewa cheo ndani ya wiki moja!! Nna misimamo ila hii yako imepitiliza...
NB: Kamata huyo rafiki yake weka ndani
Acha uboya mwanaume lazima uwe na msimamoHapana aisee misimamo mingine haina mana, na ni ukatili dhidi ya ubinadam, mwanamke kama unampenda kwanini umchunguze sana?
Waombee pia na wanawake wengine wasigawe side B kwa tamaa ya Laki na anajua kabisa ana mchumba ambaye yupo kwenye process za kuoa,Una roho mbaya shetani anasubiri.Sijui wewe ni mpagani maana hata neno la msamaha kwako limekupita kushoto utadhani hujawahi kutenda dhambi.Wanawake wenzangu ombeni sana Mungu msipate na mijianaume kama hii haishindwi kukuchoma na gunia tano za mkaa.Kisasi gani hicho kisichokwisha?
Haha haha mkuu, we bado sana ipo siku huyo unayempenda, na kwakuwa umeshamzoeaHapana aisee misimamo mingine haina mana, na ni ukatili dhidi ya ubinadam, mwanamke kama unampenda kwanini umchunguze sana?
Nice! Msimamo wako ni mzuri mkuu na pia ndio silaha yako, kwahiyo itumie kwa umakini sana maana inaweza ikapiga pande zote kama mtuMaisha yangu yameanza upya na dizain km yule demu karidhika na kuamin kwamba sipo nchini nipo India kwa matibabu, maana baadaye ikanilazimu nibadili tena namba za simu, sasa mtihan ninao kwa huyu rafiki yake maana ananipenda na anataka nitimize ahad maana kazi ameshaifanya. Hadi leo sijamla na sitamla, na hili kwangu ni dogo sana na nitalimaliza tu kirahisi.
MWISHO,
Alifanya ukatili sana ategemee malipo na yeye kwann hakumuacha tu na maisha yake? Atakuwa na matendo magumu sana atajikuta anaoa kila siku......anafanya ivo ukute ata mtu anayemuita baba ake sio biological faza ata maza ake alikuwa na mazambi vilevileWe boya tu
Pamoja na mapungufu yake bora huyo binti hakuolewa na wewe, kama alikumiza wewe iweje uwaumize Hadi ndugu zake, utalipa kwa uliyofanya.
nikaona ananiletea Upuuzi
hahahaah sijali notes sana....ila upuuuzi et baba ake nae akaongea UPUUZI