Mkuu japo inaonekana uchumi wako upo njema lakini ikitokea kazi ya KUNYONGA WATU MAGEREZANI OMBA uendeleze kipaji chako uifanye Kama hobby tu
Hapana aisee misimamo mingine haina mana, na ni ukatili dhidi ya ubinadam, mwanamke kama unampenda kwanini umchunguze sana?Amefanya vema wanaume wote tukubaliane kufanya hivi msitufanye maboya
Inaonekana Kama Mzaha lakini ina uchungu mkali Sana ndani YakeChezea koroe [emoji23][emoji23]View attachment 992798
Uchunguzi ni lazima haswa kwa watu wenye misimamo yetu, yaani mwanamke anayecheat kwangu ni hatari kuliko malaya aneyefahamika maana huwezi wekeza kwa malayaHapana aisee misimamo mingine haina mana, na ni ukatili dhidi ya ubinadam, mwanamke kama unampenda kwanini umchunguze sana?
Mwanadam hachungwi usijidanganye.Uchunguzi ni lazima haswa kwa watu wenye misimamo yetu, yaani mwanamke anayecheat kwangu ni hatari kuliko malaya aneyefahamika maana huwezi wekeza kwa malaya
Mbna tunaongea lugha tofauti kuchuguza na kuchuga yana maana tofauti kabisa, na formula ni moja tu usichuguze kama huwezi kukubaliana na matokeo ya uchunguziMwanadam hachungwi usijidanganye.
Aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu japo inaonekana uchumi wako upo njema lakini ikitokea kazi ya KUNYONGA WATU MAGEREZANI OMBA uendeleze kipaji chako uifanye Kama hobby tu
Mkurya hawezi Fanya hivyo, angetumia silaha kama ngumi, panga, nkUtakuwa mkurya
Wewe ulale na mwanamke mwingine mbali na mkeo, mkeo asilale na mwanaume mwingine mbali na wewe? Huwezi kupanda mahindi ukavuna ndizi.Mimi naweza nikaamua nikala then nikasepa,dah ila mwanamke wangu kweli aliwe siwezi samehe.
Wewe ukitoka na mtu utatoka nae tena
Ha ha mkuu hii sio mchezo inataka uwe hivo ukiiga utajuta binafsi siweziMKUU NIMEKUPENDA SANA MKUU, BIG UP SANA KWA KUNINYOOSHEA UYO MBUZI ANAYEITWA MWANAMKE MZINZI, MIMI NINA WANGU HAPA ILA NATAFUTA NJIA NZURI YA KUNYOOSHA NA MIMI ILI AJE ASIMULIE VIZAZI VYAKE VYOTE
Mkuu hii haikubariki sawa ni maamzi yako wangapi wanafanya usaliti lakini wanakuja kubadirika nakuwa watu wazuri ulianza kutoa funzo zuri ila baadae ukadhamilia kuuwa hapana kumbuka nawewe utapata watoto wanawake ndohawahawa kila raherl mkuu ukaona had wazazi wako hawana chakukushauri saw mkuu ikitokea nyingine tuletee inafunzo kubwa hasa upande waoTUENDELEE...
Nikaona mambo yasiwe mengi, nikamwambia poa aende akamrudishe rafiki yake kwenye ndoa yake and mimi nitamfkiria kuhusu ombi lake, nilishajua tayari ashakuwa dhaifu kwangu so hawezi kunizid maujanja, hata km anasema uongo bado hauwez kuniathiri maana lazima nimzid akili, kwanza ananipenda kimapenz hivyo tayari yupo kwenye ugonjwa wa akili hawezi kushindana namimi mwenye akili timamu, and nikapanga kabisa kwamba siwezi kuwa naye yule manzi.
Akaenda akamdanganya kwamba nimepata ajali na nina hali mbaya nimekimbizwa India, na kwa jinsi hali ilivyo sijui km nikipona nitabaki na uwezo wa kufanya chochote Kwahiyo akamwambia rafiki yake akakomae tu na ndoa yake, na akaishi na yule mwanaume maana kwangu tena maji yameshamwagika, binti akaona hakuna jinsi akarudi kwa mume wake, jamaa ndo hivyo akampokea maana ndo km anakopatia ridhiki, nasikia kumbe kipindi anakuja huku alikuwa tayari kanasa ujauzito wa mshikaji, ndo huyu rafiki yake akawa ananiambia alikuja kugundua baadaye km ni mjamzito means km mimi ningejichangnya kuwa naye kipind hiki basi ningetupiwa hilo zigo kumbe la mume wake huko.
Japo binti hana amani kwenye ndoa ile so dizain km anapanga mbinu amtoroke aende akaishi maisha yake peke yake. Huyu rafiki yake akaniambia yupo kwenye process ya kutoa ile mimba maana hataki kuzaa na mshkaji wake, then apotee kokote akaishi mwenyewe. By the way hainuhusu hiyo sasa, azae asizae, aishi au aondole anajua yeye.
Maisha yangu yameanza upya na dizain km yule demu karidhika na kuamin kwamba sipo nchini nipo India kwa matibabu, maana baadaye ikanilazimu nibadili tena namba za simu, sasa mtihan ninao kwa huyu rafiki yake maana ananipenda na anataka nitimize ahad maana kazi ameshaifanya. Hadi leo sijamla na sitamla, na hili kwangu ni dogo sana na nitalimaliza tu kirahisi.
Nimepata aman sana na sikumbuki ubaya na maumivu yote aliyonitendea yule binti, nimeridhika kwa hiki.
Yapo mambo mengine nimeyaexclude maana stori ingekuwa ndefu sana, ahsanten kwa kunifuatilia tangu mwaka 2017 hadi leo 2021.
MWISHO,
Kuna watu humu wananiita mimi katili lakin wanasahau ukatili niliifanyiwa na huyu binti, mazee huyu binti nimewahi kumpa million 1 na laki 2 kwaajili ya kumsaidia kweny msala fulan, nikiona itafaa nitaujumuisha huko mbele. Nilimpenda na kumpa good life la viwango vya juu. Acheni nyie
A.k.a wachaga wa machameKoroe ni majina ya Kimeru
UsimpangieJust wondering km Mwenyenzi Mungu angekua mgumu kutusamehe km ww unavyotia ugumu ingekuaje?
Una moyo Mgumu like you have never sin, and sad enough you are proud of it.
Hii sio revenge anymore huu sasa ni ukatili.
Punguza jazba mamb yanaenda kwa mpangilioHoyaa hii ITAENDELEA ndio nini?
Toa ANDIKO MOJA basi maliza yotee.
#YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona Malaya mmevamia uzi kama nzige mkipinga alichofanya huyu jamaa!!
Big up sana mzee WAPUUZI wamezidi , hasa wadada wa kibongo