Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Ila we jamaa ikitokea nafasi kule ukanda wa Gaza omba, tena utapewa cheo ndani ya wiki moja!! Nna misimamo ila hii yako imepitiliza...

NB: Kamata huyo rafiki yake weka ndani
 
Mkuu achana nao ni wapuuzi hawajui mapenzi yanavyouma, haswa kwa mtu ulompenda na kujitolea kwake kw moyo wote.
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi nina misimamo ya hatari ila wewe ni kiongozi wetu. Sheria yangu namba moja kwenye mahusiano, ni nikijua kwa kuproove kwamba umetoa mbwa nje wakati tupo kwene relationship na mimi nakupiga chin na siji kukusamehe, sababu usaliti haunaga bahati mbaya kama mtu kakusaliti ni alikuwa msaliti toka mwanzo, na stail yangu ya kuacha ndio mbaya, simu zako napokea msg najibu ila mapenz hayapo tena na nakubadilishia code tu ya mazingira nayo kaa yan huwez kuja ukanikuta mwenyewe ntatafuta hata ndugu zangu wawili waje wakae kidogo ila we ukija unawakuta na haupati muda wakuwa na mimi alone sikuchukii ila nakuwa sikupend so hata kunyanduana inakuwa haipo, hela sikupi tena yan hata ukiomba hela mwisho wa mwezi unapigwa kalenda, sipend UPUUZ MIMI.
 
Ndo mtulizane
 
Waombee pia na wanawake wengine wasigawe side B kwa tamaa ya Laki na anajua kabisa ana mchumba ambaye yupo kwenye process za kuoa,

Wachague moja kudanga au kuolewa- hupaswi kiwa kotekote.

Kiufupi kuishi na mtu kama huyo harafu anajiita mlokole ni hatari sana, ana uwezo wa kukill , hata kukuambukiza magonjwa
 
Hapana aisee misimamo mingine haina mana, na ni ukatili dhidi ya ubinadam, mwanamke kama unampenda kwanini umchunguze sana?
Haha haha mkuu, we bado sana ipo siku huyo unayempenda, na kwakuwa umeshamzoea
likitokea jambo fulani utaanza kuhisi mbona sio kawaida yake na hapo ndipo uchunguzi huanza...

Binadamu wote tumeumbwa na uchunguzi au udadisi, so Mkuu sioni unachojaribu kutetea.
 
Nice! Msimamo wako ni mzuri mkuu na pia ndio silaha yako, kwahiyo itumie kwa umakini sana maana inaweza ikapiga pande zote kama mtu
atakuzidi hatua.

Alafu pia, siku ukiingia kwenye mahusiano na huyo rafiki yake itakuwa umejitia kitanzi mwenyewe, na ni mfano mzuri ambapo silaha yako inaweza kutumika dhidi yako. Ameshakujua wewe ni mtu wa aina gani kwahiyo siku ikitokea na yeye ameteleza kivyovyote, kunauwekano mkubwa wa yeye kufanya kila aliwezalo ili usijue na ikitokea akahisi unaweza kujua kwa njia yoyote ile basi hatakuwa na budi ya kufanya 'chochote kile' kuhakikisha na yeye hapotezi kama ilivyotokea kwa rafiki yake.

All the best.
 
Watu wanamuona mleta mada katili kwasababu ya emotional feeling zao zimewachota kwenye hii story waamnini hivyo,
yani walitaka kuona Happy ending kwa huyo binti ndio wafurahi...

nilichogundua kutoka kwa wadau ni hiki:
Mchumba wako unayemchumbia,kumuhudumia .. akikucheat Ni jambo la kawaida humu kwa wengi

Kunasa taarifa za makubaliano ya mchumba wako kutatka kufanya mapenzi kinyume cha maumbile - hili nalo sio jambo la kutisha humu watu wanaona ni kawaida sana..


Mwanamke wa hivi hafai kuwa mama wa familia

Anafaa kuwa mdanganji tu!

Hakuna ukatili wowote jamaa alioufanya zaidi ya kuonyesha uthibitisho kuwa convice wazazi ambao walikuwa wakimsikiliza binti wa kilokole mwana kwaya, akikana hajawahi kufanya hayo makosa...

Mwenzie yupo busy anahangaika na ishu za posa na washenga..
Yeye yupo busy na free data ya fb messenger anauza side A elfu70, side B wame bid kwa Laki...
life is not fear!
 
We boya tu
Pamoja na mapungufu yake bora huyo binti hakuolewa na wewe, kama alikumiza wewe iweje uwaumize Hadi ndugu zake, utalipa kwa uliyofanya.
Alifanya ukatili sana ategemee malipo na yeye kwann hakumuacha tu na maisha yake? Atakuwa na matendo magumu sana atajikuta anaoa kila siku......anafanya ivo ukute ata mtu anayemuita baba ake sio biological faza ata maza ake alikuwa na mazambi vilevile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…