Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 4,740
- 7,679
Mkuu......Mkuu, nimepata nafasi ya kusoma huu mkasa wako kuanzia mwanzo hadi mwisho kwa umakini sana. Ni wa kusisimua sana. Nina haya ya kusema.
1.Kama yote ambayo umeyaandika yana ukweli (ikiwa na pamoja na kwamba wewe huwezi kuwa na mahusiano ya kingono au kugonga wanawake wawili kwa wakati mmoja) basi itoshe kusema kwamba wewe ni mmoja kati ya wanaume wachache sana duniani ambao wanaelewa hasa na kuiishi maana ya commitment ya kingono.
2.Aliesema kwamba ukianza safari ya kulipa kisasi basi uchimbe makaburi mawili kwanza, hakukosea. I hope umeshaandaa hayo makaburi, naona yakienda kuhitajika muda si mrefu ujao.
3.Huyo rafiki wa huyo binti ni tatizo kubwa sana kwako (ni weak link, au wahuni wanaita "loose end"), kuna uwezekano mkubwa sana yeye akawa kiungo muhimu kwenye kuhitajika makaburi mawili niliyotaja hapo juu. Kama unaweza, kata mawasiliano ya aina yote na yeye before it is too late.
4.Sometimes, we learn the most important lessons in life the hard way. I hope you wont have to.
Hivi ndivyo mwanaume anavyotakiwa kuwa, msimamo thabiti, hata ikibidi kufa, ni sawa tu. Tembea humo Mkuu achana na hawa wamama.Huruma za kipumbafu huwa mara zote zinapelekea kuleta neno Ningejua. Hivi unayemtetea huyu binti unadhani angesema tu kikaoni pale ninamuacha sitoendelea tena na utoaji wa mahari pangeeleweka!? Baba mtu alikuwa keshaanza kuwaka moto na kumtishia jamaa atampeleka kwenye vyombo vya sheria, wewe unaetetea unaona ni sawa!?
Jamaa alishamtahadharisha binti tangu siku ya kwanza juu ya misimamo yake ila binti akaona, wewe nae ni wale wale tu. Na uzuri wangu huu utachomoka hapa!? Kuna watu huwa wanasema sijui usifuatilie simu ya mkeo sijui mchumba wako, huwa nawaona hawana akili timamu. Nihusike katika kila kitu chako, halafu simu tu, nisihusike nayo!?
Sisi wenye misimamo ya namna hiyo tupo na nilishagasema mimi sinaga rivasi kama pikipiki. Jumamosi moja niligombana na mwanamke nlokuwa naishi nae, akawa anarusha maneno hasa ya kejeli na dhihaka, nikawa namsikiliza tu baadae mi nikalala. Nimeamka hiyo jpili ya kimbunga Jobo nikajiandaa nikaenda mzigoni, narudi jioni nikakuta nyumba yote giza. Nikaangalia tunapowekaga funguo nikaiona, nikaingia ndani sikumkuta na kuna vitu akawa kaondoka navyo bila kunitaarifu wala kuniomba. Nilipoona ile hali nikasikitika tu kisha nikatoa tabasamu ya Uchungu kisha nikasema Sawa, nikafuta namba zake zote. Sijamtafuta mpaka leo wala sina mpango wa kumtafuta maisha.
Mkuu sisi hatujapinga huyo binti kuachwa,usaliti ni kitu kibaya na sidhani kama kuna mtu anatetea usaliti.Mwanamke ambaye namuwekea si chini ya laki 2 kila wiki, hiyo sio ya kula wala mavazi, ni vocha na matumizi yake binafsi, gari yake muda wote ina mafuta, nikamfanya kuwa Malkia kuliko mama angu mzazi, anatokea mama mmoja humu anasema mimi katili, katili gani duniani anaweza kufanya mambo km haya niliyomfanyia huyu binti, tamaa zimepita kiasi kila hela anaitaka, haridhiki, elfu 70 sijui laki inamtoa iman, tuweni serious kdg nyie.
Mkuu wewe hajawahi kukosea??Hivi ndivyo mwanaume anavyotakiwa kuwa, msimamo thabiti, hata ikibidi kufa, ni sawa tu. Tembea humo Mkuu achana na hawa wamama.
Hujawahi kutendwa ndg. Kaa kimya
Ndugu yangu kutendwa nimewahi,kusalitiwa nimewahi na hasara niliyoipata ni ya muda wangu..lakini sikuhangaika kulipa kisasi,Mungu mwenyewe alilipa.Ni swala la muda tu!Hujawahi kutendwa ndg. Kaa kimya
Wewe ni kabila gani kaka?Kawaida tu
Ndio kashalipiza kisasi sasa! Hutaki pigana.Rubbish!
You mean anaweza hata kumuua mchizi?Nice! Msimamo wako ni mzuri mkuu na pia ndio silaha yako, kwahiyo itumie kwa umakini sana maana inaweza ikapiga pande zote kama mtu
atakuzidi hatua.
Alafu pia, siku ukiingia kwenye mahusiano na huyo rafiki yake itakuwa umejitia kitanzi mwenyewe, na ni mfano mzuri ambapo silaha yako inaweza kutumika dhidi yako. Ameshakujua wewe ni mtu wa aina gani kwahiyo siku ikitokea na yeye ameteleza kivyovyote, kunauwekano mkubwa wa yeye kufanya kila aliwezalo ili usijue na ikitokea akahisi unaweza kujua kwa njia yoyote ile basi hatakuwa na budi ya kufanya 'chochote kile' kuhakikisha na yeye hapotezi kama ilivyotokea kwa rafiki yake.
All the best.
Lakini katika hadithi hii , jamaa alikuwa katika mstari, lakini bible ndio shida, unasemaje hapoHata yeye anaweza akaliwa na akasepa.
Usitende yale usiyopenda kitendewa na mwenzio.
Ukitaka mtu mwema basi Anza wewe kuwa mwema.
Hakuna mwenye uhalali wa kutenda dhambi,awe mwanamke au mwanaume.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika hii hadithi ni kweli kabisa mwanaume hakuwa msaliti na namsifu sana kwa kuwa na msimamo huo kwani ni wanaume wachache sana kama si pekeyake mwenye huo msimamo dunia yetu ya leo.Lakini katika hadithi hii , jamaa alikuwa katika mstari, lakini bible ndio shida, unasemaje hapo
Hujamkomoa, kwani yeye kakutafuta?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huruma za kipumbafu huwa mara zote zinapelekea kuleta neno Ningejua. Hivi unayemtetea huyu binti unadhani angesema tu kikaoni pale ninamuacha sitoendelea tena na utoaji wa mahari pangeeleweka!? Baba mtu alikuwa keshaanza kuwaka moto na kumtishia jamaa atampeleka kwenye vyombo vya sheria, wewe unaetetea unaona ni sawa!?
Jamaa alishamtahadharisha binti tangu siku ya kwanza juu ya misimamo yake ila binti akaona, wewe nae ni wale wale tu. Na uzuri wangu huu utachomoka hapa!? Kuna watu huwa wanasema sijui usifuatilie simu ya mkeo sijui mchumba wako, huwa nawaona hawana akili timamu. Nihusike katika kila kitu chako, halafu simu tu, nisihusike nayo!?
Sisi wenye misimamo ya namna hiyo tupo na nilishagasema mimi sinaga rivasi kama pikipiki. Jumamosi moja niligombana na mwanamke nlokuwa naishi nae, akawa anarusha maneno hasa ya kejeli na dhihaka, nikawa namsikiliza tu baadae mi nikalala. Nimeamka hiyo jpili ya kimbunga Jobo nikajiandaa nikaenda mzigoni, narudi jioni nikakuta nyumba yote giza. Nikaangalia tunapowekaga funguo nikaiona, nikaingia ndani sikumkuta na kuna vitu akawa kaondoka navyo bila kunitaarifu wala kuniomba. Nilipoona ile hali nikasikitika tu kisha nikatoa tabasamu ya Uchungu kisha nikasema Sawa, nikafuta namba zake zote. Sijamtafuta mpaka leo wala sina mpango wa kumtafuta maisha.
Naruhusu kuadhibiwa, na siwezi kulaumu nikiadhibiwa kwa kosa linatokana na uzembe wangu
Mkuu mwanamke hata umpe dunia nzima kamwe usitegemee hata kuja kugongwa nje yani hawa viumbe sio kabisaa… KUMUAMINI MWANAMKE NI UPUMBAVU maana unajua kabisa ipo siku atakutoa machozi.Mwanamke ambaye namuwekea si chini ya laki 2 kila wiki, hiyo sio ya kula wala mavazi, ni vocha na matumizi yake binafsi, gari yake muda wote ina mafuta, nikamfanya kuwa Malkia kuliko mama angu mzazi, anatokea mama mmoja humu anasema mimi katili, katili gani duniani anaweza kufanya mambo km haya niliyomfanyia huyu binti, tamaa zimepita kiasi kila hela anaitaka, haridhiki, elfu 70 sijui laki inamtoa iman, tuweni serious kdg nyie.
Huoni kama hapo umemkomoa halafu wewe pia umejitafutia matatizo!Naruhusu kuadhibiwa, na siwezi kulaumu nikiadhibiwa kwa kosa linatokana na uzembe wangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hujamkomoa, kwani yeye kakutafuta?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]