Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Ukijumuisha wanawake wote humo unakosea.Mkuu mwanamke hata umpe dunia nzima kamwe usitegemee hata kuja kugongwa nje yani hawa viumbe sio kabisaa… KUMUAMINI MWANAMKE NI UPUMBAVU maana unajua kabisa ipo siku atakutoa machozi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Ndio kashalipiza kisasi sasa! Hutaki pigana.
Labda ya kumpa ujumbe ambao utamuelewesha bi Dada kiwango cha kosa lake na jamii kwa ujumla.Katika hii hadithi ni kweli kabisa mwanaume hakuwa msaliti na namsifu sana kwa kuwa na msimamo huo kwani ni wanaume wachache sana kama si pekeyake mwenye huo msimamo dunia yetu ya leo.
Mwanamke/binti amefanya usaliti na simtetei kwa kufanya usaliti kwa sababu ni tabia mbaya,pia ni halali yake kuachwa.
Shida ni namna mwamba alivyomuacha huyo binti?
Kulikuwa na ulazima gani wa kumdharirisha??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili akome.Katika hii hadithi ni kweli kabisa mwanaume hakuwa msaliti na namsifu sana kwa kuwa na msimamo huo kwani ni wanaume wachache sana kama si pekeyake mwenye huo msimamo dunia yetu ya leo.
Mwanamke/binti amefanya usaliti na simtetei kwa kufanya usaliti kwa sababu ni tabia mbaya,pia ni halali yake kuachwa.
Shida ni namna mwamba alivyomuacha huyo binti?
Kulikuwa na ulazima gani wa kumdharirisha??
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee [emoji119]Labda ya kumpa ujumbe ambao utamuelewesha bi Dada kiwango cha kosa lake na jamii kwa ujumla.
Maana kama binadamu unaweza kujua kufanya kitu fulani ni kosa, lakini ikiwepo adhabu ndio binadamu wengine hujiepusha na kutenda hayo makosa.
Vita vita haina shida hiiHuoni kama hapo umemkomoa halafu wewe pia umejitafutia matatizo!
Maana ungeweza kumuacha tu pasi na kumdharirisha vile kwa watu...
Umemuacha kwa style hiyo,huoni kama anaweza kufanya lolote ikiwa ni pamoja na kumdhuru mwanamke wako wa Sasa au utakayekuwa naye baadaye ili wote wakose.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona tatizo lipo hapa.Mwanamke ambaye namuwekea si chini ya laki 2 kila wiki, hiyo sio ya kula wala mavazi, ni vocha na matumizi yake binafsi, gari yake muda wote ina mafuta, nikamfanya kuwa Malkia kuliko mama angu mzazi, anatokea mama mmoja humu anasema mimi katili, katili gani duniani anaweza kufanya mambo km haya niliyomfanyia huyu binti, tamaa zimepita kiasi kila hela anaitaka, haridhiki, elfu 70 sijui laki inamtoa iman, tuweni serious kdg nyie.
Okee.Vita vita haina shida hii
Tayari amekoma.
Mbona hajakoma kumtafuta?Tayari amekoma.
Huoni amekonda na ana minba na analia kila leo.
Ndio kukoma huko.
Mkomoaji ameshasema ameridhika kwa aliofanya ndio faida hiyo.Mbona hajakoma kumtafuta?
Sawa,amemkomesha..je,amepata faida gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hiyo fidia imebadili ukweli wa kusalitiwa?Mkomoaji ameshasema ameridhika kwa aliofanya ndio faida hiyo.
Na habadili maamuzi...vipi unatakaje?
HakikaMkuu nimesoma story yako mwanzo hadi mwisho...You got my thumb....Mtu unaempenda kwa dhati akikuzingua hakuna kurudi nyuma..We jamaa ni kama mimi, huwa nipo loyal sana kwa mtu wangu, huwa sio shabiki wa polygamism...Ila nikihisi kuna vitu visivyoeleweka huwa nachukua time zangu..Kingine huyo mbullu hakufai maana hana mapenzi ya kweli ana tamaa..Ukijaribu kuwa nae utakuwa umeanzisha vita kubwa ambayo hutaweza kuimaliza na pengine utaijutia maisha yako yote...
Kingine, kwanini alitunga uongo mbaya kiasi kile? kwamba umepata ajali upo india? Kwanini hakusema hata upo USA umepata kazi huko na hautarudi nchini kwa mda mrefu?...Kuna watu wanautafuta uzima ila nyinyi huo uzima mnaugeuza kuwa maradhi ili tu kufanikisha malengo yenu...Nimeumia sana mkuu...Uongo siku zote ni mbaya ila huu uongo wa ajali ni mbaya zaidi...Piga magoti tubu kwa mola...Maana maneno huumba.
Hiyo ni adhabu kwa kosa lake...siku zote adhabu hutoa funzo na alama ili uko aendako asilete upuuzi tena.
Tabia ya mtu ni kama ngozi.. huwezi kubadilisha.Hiyo ni adhabu kwa kosa lake...siku zote adhabu hutoa funzo na alama ili uko aendako asilete upuuzi tena.
Mtoa mada amesema yeye haoni shida kuwa responsible kwa kitakachom backfire. ..hata kufa ye anaona fresh tu.Tabia ya mtu ni kama ngozi.. huwezi kubadilisha.
Lakini anyway,,,kila mtu ana namna yake ya kutatua matatizo.
Lakini hii naona Kama baadaye inaweza mletea matatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app