Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Sawa kushangaa utashangaa. Nimekuwekea mfano hapo lakini. Je ni ipi itakushangaza zaidi?

Yani ipi itakufanya ujisikie aibu wewe kama mtoto kusikia baba yako kachepuka au kusikia mama kachepuka?
Kwangu zote ni aibu.
Dhambi ni dhambi bila kujali amefanya nani..hakuna unafuu kwenye dhambi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ile kauli wanasema kwa Mungu mbali

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wengi kati ya Wanawake wanaona mtoa mada amefanya ukatili mkubwa mno ni wale waliojiassume wao ndio girlfriend huyo msaliti (nao pia kiuhalisia ni wasaliti au waliwahi kuwa wasaliti) na wanaoassume kama wao ndio wangekuwa mama wa girlfriend Huyo.
Na wanaoona mtoa mada yuko sahihi ni wale waliojiassume kama wao ndio wangekuwa mama au Dada wa mtoa mada. Tujifunze kubalance mambo kwa kuyachunguza kwa pande zote mbili.

Na wengi ya wanaume wanaotaka kumpinga mtoa mada ni kwa sababu wanaona mtoa mada amewavua nguo na kuonekana kama wanawake ambao huweza kuwa soft kwenye misimamo yao.
Msimamo ni msingi wa kwanza kabisa wa binadamu katika kuishi kwake.
 
Kacheza vizuriii sana huyu mwambaa...

Huyu mwamba kama ni mnywaji inabidi nimchape round 5 za castle lager aisee
 
Wenye misinamo yetu tumemuelewa mtoa mada
 
Wewe jamaa hatari asee nina misimamo ila yako too much mkuu. Nimewahi kupata hali kama hiyo ingawa huyo mwanamke hatukua tumefika stage ya kwa wazazi lakini aliponisaliti nikajua sikurudi nyuma.
Alilia aliumwa nikatafutwa hadi na wazazi wake nikaambiwa basi niongee nae tu awe poa nikakubali mpaka leo mwaka wa 6 akipiga napokea tunaongea, tunachat she's okay anamahusiano ananishirikisha kila kitu ni kama tumekua marafiki sana. Anasemaga wewe mwanaume mpaka siku nakufa sitaacha kukupendaa nilifanya utoto sana.
 
Kwangu zote ni aibu.
Dhambi ni dhambi bila kujali amefanya nani..hakuna unafuu kwenye dhambi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa. Ila umekuwa mstari wa mbele kumtetea huyo mchumba feki. Amevuna alichopanda hakuna namna ya kuweza kumtetea asee.

Kwangu mimi mleta mada angekuwa hajafanya sawa kama tu angemuua ila alichofanya nampa [emoji817].
 
Mkuu wewe na Jokajeusi mnengewe sanamu liwekwe pale posta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…