Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Najua ni swala binafsi ndiyo maana sijauliza kiujumla, bali nimekuuliza wewe.Kuhusu imani nadhani ni swala binafsi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua ni swala binafsi ndiyo maana sijauliza kiujumla, bali nimekuuliza wewe.Kuhusu imani nadhani ni swala binafsi sana
Kwangu zote ni aibu.Sawa kushangaa utashangaa. Nimekuwekea mfano hapo lakini. Je ni ipi itakushangaza zaidi?
Yani ipi itakufanya ujisikie aibu wewe kama mtoto kusikia baba yako kachepuka au kusikia mama kachepuka?
Kuna ile kauli wanasema kwa Mungu mbali[emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe ataipata mbinguni haki yake.
Ni kweli kabisa ataipata mbinguni maana Mungu anajudge kwa haki.
Ikiwa huko mbinguni watu hupata stahiki zao,Je,kulikuwa na haja gani ya yeye kumlipa huyo dada kwa wakati huu tukiwa duniani?
Kwanini asimuachie Mungu tu amlipe huko mbeleni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ni namba moja.Napata tabu yule jamaa wa mkaa gunia mbili
Na huyu mwamba nani akae namba moja
Chaliifrancisco Carlos The Jackal
Tuweke pembeni mambo ya imani turudi kwenye uhalisia wa mambo kwenye jamiiNajua ni swala binafsi ndiyo maana sijauliza kiujumla, bali nimekuuliza wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes jamaa ndio lirolimodo langu, japo mimi naweza kuongeza kidogoTobaaaaa
Na wewe?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kacheza vizuriii sana huyu mwambaa...Mimi naona kafanya sawa kabisa. Kajiepusha na mambo mengi. Labda hata binti na wazazi wangekuja kujua kuwa anatembea na rafiki yake na binti wangeweza kudhani labda huyo rafiki yake nae ndio sababu jamaa hataki kusikia kitu. Hiyo ingemletea shida pia huyo rafiki.
SawaTuweke pembeni mambo ya imani turudi kwenye uhalisia wa mambo kwenye jamii
Kwa Mungu bali kivipi Chief wakati maandiko yanasema Yu karibu.
Huyu jamaa ni nyoko asee. Naomba Mungu anijalie nijifunze kuwa na maamuzi magumu kama yeye.Napata tabu yule jamaa wa mkaa gunia mbili
Na huyu mwamba nani akae namba moja
Chaliifrancisco Carlos The Jackal
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yes jamaa ndio lirilimodo langu, japo mimi naweza kuongeza kidogo
Wenye misinamo yetu tumemuelewa mtoa madaWengi kati ya Wanawake wanaona mtoa mada amefanya ukatili mkubwa mno ni wale waliojiassume wao ndio girlfriend huyo msaliti (nao pia kiuhalisia ni wasaliti au waliwahi kuwa wasaliti) na wanaoassume kama wao ndio wangekuwa mama wa girlfriend Huyo.
Na wanaoona mtoa mada yuko sahihi ni wale waliojiassume kama wao ndio wangekuwa mama au Dada wa mtoa mada. Tujifunze kubalance mambo kwa kuyachunguza kwa pande zote mbili.
Na wengi ya wanaume wanaotaka kumpinga mtoa mada ni kwa sababu wanaona mtoa mada amewavua nguo na kuonekana kama wanawake ambao huweza kuwa soft kwenye misimamo yao.
Msimamo ni msingi wa kwanza kabisa wa binadamu katika kuishi kwake.View attachment 1788242
Mimi sina neno la kuongeza zaidi ya kuchukua mbinu za kimedani za uyu mwambaSawa
Lakini jamii imeumbwa na Mungu
Na inaishi kulingana na misingi ya Mungu..
Ndiyo maana nimekuuliza.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Napata tabu yule jamaa wa mkaa gunia mbili
Na huyu mwamba nani akae namba moja
Chaliifrancisco Carlos The Jackal
Kwahiyo hata maandiko ya Mungu hutaki kuyafwata?Mimi sina neno la kuongeza zaidi ya kuchukua mbinu za kimedani za uyu mwamba
Sawa. Ila umekuwa mstari wa mbele kumtetea huyo mchumba feki. Amevuna alichopanda hakuna namna ya kuweza kumtetea asee.Kwangu zote ni aibu.
Dhambi ni dhambi bila kujali amefanya nani..hakuna unafuu kwenye dhambi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe na Jokajeusi mnengewe sanamu liwekwe pale postaNimegundua kupitia comment wengi humu si waaminifu, mnapenda sana kusamehewa mkijiwekea kinga mkikosea nanyinyi msamehewe, ukikosea utalipia na ndo kanuni ya maisha ilivyo, kabla sijafanya lolote nilimtahadharisha huyu binti, wala haikuwa surprise kwa kilichotokea, alafu mbaya zaidi kuna wanaume humu nao wanasema eti mimi katili, ndo wonder mnapelekeshwa na wanawake zenu, malofa kweli.
Tunafata inapobidi ila kwenye uhalisia gemu iko tofauti sana ukijifanya mwema lazima uteseke