Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Sawa. Ila umekuwa mstari wa mbele kumtetea huyo mchumba feki. Amevuna alichopanda hakuna namna ya kuweza kumtetea asee.

Kwangu mimi mleta mada angekuwa hajafanya sawa kama tu angemuua ila alichofanya nampa [emoji817].
Siamini kama Saint Anne anamtetea huyo malaya alietoa hadi mtaro kwa laki moja..

Mdogo wangu anne umepatwa na nini?
 
Sawa. Ila umekuwa mstari wa mbele kumtetea huyo mchumba feki. Amevuna alichopanda hakuna namna ya kuweza kumtetea asee.

Kwangu mimi mleta mada angekuwa hajafanya sawa kama tu angemuua ila alichofanya nampa [emoji817].
Nionyeshe nilipomtetea huyo mwanamke.
Ukinionyesha basi nitakuwa tayari kubeba adhabu yoyote mtakayonipa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamati za mapenzi ni noma sana
 
Mimi nilishasema mwanamke niwe nimeishi nae hata miaka 20 tuna watoto sita..sitosamehe wala kujiuliza mara mbili kama akitafunwa huko nje na nikajua. Narudia sitosikiliza hata neno moja kutoka Mbinguni wala popote pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…