Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Ukimkamata mtu amechepuka,amekusaliti..wewe acha naye tu.
Malipo atalipwa na Mungu


Sent using Jamii Forums mobile app
kuna extent ya kusalitiwa, na pia tuna sema kuna ile sheria ya kusema asiye funzwa na wazazi , basi atafunzwa na wali mwengu. na hii pia ina tumika kama njia ya kupunguza kama sio kutibu hiyo hulka.
kungekuwa hakuna adhabu si wanaume si wanawake, uzinzi ungekuwa nje nje
 
What is kwaya?you think its a big deal kwa kila mtu?nakwambia hivi umemuonea huyo tu,hujakutana na makurebembe wewe!
Personally nisingeogopa kwaya wala church,as unaweza hamia pengine maisha yakasonga kama kawa
 
Najitolea cement kwenye ujenzi wa sanamu lako

Teach us master[emoji23]
 
Ungekubali pia kuwa umeliwa 0713 mbele ya wazazi wako sio?

Halafu watu wanafanya calculation kwanza..gumegume linajulikana tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What is kwaya?you think its a big deal kwa kila mtu?nakwambia hivi umemuonea huyo tu,hujakutana na makurebembe wewe!
Personally nisingeogopa kwaya wala church,as unaweza hamia pengine maisha yakasonga kama kawa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila ni ngumu sana kukubali mbele ya ndugu, lazima ukakasi upate.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We muongo ungekuwa usingefanya hivyo?
 
Ungekubali pia kuwa umeliwa 0713 mbele ya wazazi wako sio?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ana ushahidi nimeliwa?nakana kama sio mimi vile,hakuna anaeweza kuamini kila kitu just because jamaa kasema,naweza kuwaambia hizo msg kazitengeneza as yeye ndo hanitaki ila mimi sijawahi fanya hizo mishe!
Yan in short kwa hilo tukio personally ningekua unbreakable!ningesonga mbele afu ndo ningezidi kumuundermine jamaa as ningegundua kumbe alinipenda sana kashindwa kumove on kaona alipize🤣🤣🤣
 
Adhabu ya Mungu pekeyake inatosha .
Usaliti unauma sana,hasa pale unapokuwa mwaminifu kwa mtu lakini kumbe yeye anakuona mjinga.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kubali lazima ukatae tena useme we unaimba na kwaya unawezaje kufanya hivyo?hapo inabidi useme jamaa ameedit hizo msg manake ni mtaalam wa mambo hayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Ningekuwa mimi nadhani ningekosa majibu.
Kudanganya nacho ni kipaji,,hasa kitu kama kweli kimefanyika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maumivu ya mapenzi yamewahi kunipata, lakini mimi sikulipiza kisasi niliamua kukaa kimya

Amini usiamini hakuna kisasi kibaya kama kunyamaziwa, yule mwanamke namtazama anavyopambana mpaka namuones huruma, kila kitu kimekwama, ndoa zinagoma mpaka anasema nilimroga
 
Sasa wazazi ni wajinga kiasi hicho?..

Adanganye kusema kuwa unaliwa tigo ili iweje?..nani anayeoa,ni wewe au ni yeye?..kama angekuwa hakutaki asingekosa sababu ya kusingizia.

Kubali kuwa hata kama ungejifanya chizi tayari wewe na wazazi wako mngekuwa tayari mmedhalilishwa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Ningekuwa mimi nadhani ningekosa majibu.
Kudanganya nacho ni kipaji,,hasa kitu kama kweli kimefanyika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi ningetoa show huyo jamaa mwenyewe angeshangaa,kwanza ningelia nigalegale nimshike miguu nimwambie kama hunitak si ungeniacha tu kirahisi?kwanini unipakazie mie kwaya masta?ningesema kweli mama walokole tuna majaribu mazito,shetani ameona ajiinue,ametangaza vita!angeshangaa hiyo siku nakwambia
 
Shida ni moja,nani ana ushahidi nimeliwa tigo?ana video?just a mere text?come on dude
 
Mimi sijui kwa nini nimekuelewa seriously tena!simtetei hata kidogo ingawa yataka moyo kufanya hvyo ila what u did ni sawa kwa mtazamo wako...Cheating inauma na kuumiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…