Lengo lake halikua kutisha mtu bali kumkomesha huyo demu,asa akikutana na ambae hakomesheki inakua ngoma droo!so hata kama wewe hutatishika ni sawa lakini na mimi hutanikomesha!yani we are even,Mimi ukiniambia vimaneno kama hivi huw
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lengo lake halikua kutisha mtu bali kumkomesha huyo demu,asa akikutana na ambae hakomesheki inakua ngoma droo!so hata kama wewe hutatishika ni sawa lakini na mimi hutanikomesha!yani we are even,Mimi ukiniambia vimaneno kama hivi huw
kuna extent ya kusalitiwa, na pia tuna sema kuna ile sheria ya kusema asiye funzwa na wazazi , basi atafunzwa na wali mwengu. na hii pia ina tumika kama njia ya kupunguza kama sio kutibu hiyo hulka.Ukimkamata mtu amechepuka,amekusaliti..wewe acha naye tu.
Malipo atalipwa na Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
What is kwaya?you think its a big deal kwa kila mtu?nakwambia hivi umemuonea huyo tu,hujakutana na makurebembe wewe!Shenzii, aya uwe unaimba kwaya, unajulikana ni mlokole, kanisan kwako wanakuamini na wazazi wako wanajua wew ni zaid ya malaika ungejibu hivyo?? ulivyokuwa na akili fupi unadhan mim hamnazo, kila kitu kilikuwa calculated, na km angekuwa mwanamke gume gume km wew ningedili kwa namna nyingine, kikubwa lazima ungeonja joto la jiwe, ingeshindikana psychologically basi physically.
Najitolea cement kwenye ujenzi wa sanamu lakoShenzii, aya uwe unaimba kwaya, unajulikana ni mlokole, kanisan kwako wanakuamini na wazazi wako wanajua wew ni zaid ya malaika ungejibu hivyo?? ulivyokuwa na akili fupi unadhan mim hamnazo, kila kitu kilikuwa calculated, na km angekuwa mwanamke gume gume km wew ningedili kwa namna nyingine, kikubwa lazima ungeonja joto la jiwe, ingeshindikana psychologically basi physically.
Kiranga simjuiMkuu wewe na kiranga ni ndugu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapo,kuna wanawake wamevurugwa mno!ukisema suu nae anasema suu afu anakiwasha![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna wanawake pride level zao zimezidi ule ukomo wa kawaida!
Ungekubali pia kuwa umeliwa 0713 mbele ya wazazi wako sio?Na umemkuta tu huyo demu ni mhuni ila yuko soft hearted mwingine wala asingejali.na hizo drama zako za kupeleka picha kwa wakwe
tena ndo ungeumia balaa!
Ningekua mimi ningekujibu yes nilichepuka na yule ulieona text zake coz nampenda yule sio wewe na afadhali umejua ili tuachane!
Ungenyooka tu!hizo korean drama usijaribu pelekea wengine hutaamin macho yako!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shenzii, aya uwe unaimba kwaya, unajulikana ni mlokole, kanisan kwako wanakuamini na wazazi wako wanajua wew ni zaid ya malaika ungejibu hivyo?? ulivyokuwa na akili fupi unadhan mim hamnazo, kila kitu kilikuwa calculated, na km angekuwa mwanamke gume gume km wew ningedili kwa namna nyingine, kikubwa lazima ungeonja joto la jiwe, ingeshindikana psychologically basi physically.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]What is kwaya?you think its a big deal kwa kila mtu?nakwambia hivi umemuonea huyo tu,hujakutana na makurebembe wewe!
Personally nisingeogopa kwaya wala church,as unaweza hamia pengine maisha yakasonga kama kawa
We muongo ungekuwa usingefanya hivyo?Na umemkuta tu huyo demu ni mhuni ila yuko soft hearted mwingine wala asingejali.na hizo drama zako za kupeleka picha kwa wakwe
tena ndo ungeumia balaa!
Ningekua mimi ningekujibu yes nilichepuka na yule ulieona text zake coz nampenda yule sio wewe na afadhali umejua ili tuachane!
Ungenyooka tu!hizo korean drama usijaribu pelekea wengine hutaamin macho yako!
Ana ushahidi nimeliwa?nakana kama sio mimi vile,hakuna anaeweza kuamini kila kitu just because jamaa kasema,naweza kuwaambia hizo msg kazitengeneza as yeye ndo hanitaki ila mimi sijawahi fanya hizo mishe!
Adhabu ya Mungu pekeyake inatosha .kuna extent ya kusalitiwa, na pia tuna sema kuna ile sheria ya kusema asiye funzwa na wazazi , basi atafunzwa na wali mwengu. na hii pia ina tumika kama njia ya kupunguza kama sio kutibu hiyo hulka.
kungekuwa hakuna adhabu si wanaume si wanawake, uzinzi ungekuwa nje nje
Huwezi kubali lazima ukatae tena useme we unaimba na kwaya unawezaje kufanya hivyo?hapo inabidi useme jamaa ameedit hizo msg manake ni mtaalam wa mambo hayo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila ni ngumu sana kukubali mbele ya ndugu, lazima ukakasi upate.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nitasimamia mafundi bure kabisaNajitolea cement kwenye ujenzi wa sanamu lako
Teach us master[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Huwezi kubali lazima ukatae tena useme we unaimba na kwaya unawezaje kufanya hivyo?hapo inabidi useme jamaa ameedit hizo msg manake ni mtaalam wa mambo hayo
Sasa wazazi ni wajinga kiasi hicho?..Ana ushahidi nimeliwa?nakana kama sio mimi vile,hakuna anaeweza kuamini kila kitu just because jamaa kasema,naweza kuwaambia hizo msg kazitengeneza as yeye ndo hanitaki ila mimi sijawahi fanya hizo mishe!
Yan in short kwa hilo tukio personally ningekua unbreakable!ningesonga mbele afu ndo ningezidi kumuundermine jamaa as ningegundua kumbe alinipenda sana kashindwa kumove on kaona alipize[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mi ningetoa show huyo jamaa mwenyewe angeshangaa,kwanza ningelia nigalegale nimshike miguu nimwambie kama hunitak si ungeniacha tu kirahisi?kwanini unipakazie mie kwaya masta?ningesema kweli mama walokole tuna majaribu mazito,shetani ameona ajiinue,ametangaza vita!angeshangaa hiyo siku nakwambia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Ningekuwa mimi nadhani ningekosa majibu.
Kudanganya nacho ni kipaji,,hasa kitu kama kweli kimefanyika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ni moja,nani ana ushahidi nimeliwa tigo?ana video?just a mere text?come on dudeSasa wazazi ni wajinga kiasi hicho?..
Adanganye kusema kuwa unaliwa tigo ili iweje?..nani anayeoa,ni wewe au ni yeye?..kama angekuwa hakutaki asingekosa sababu ya kusingizia.
Kubali kuwa hata kama ungejifanya chizi tayari wewe na wazazi wako mngekuwa tayari mmedhalilishwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijui kwa nini nimekuelewa seriously tena!simtetei hata kidogo ingawa yataka moyo kufanya hvyo ila what u did ni sawa kwa mtazamo wako...Cheating inauma na kuumizaMwanamke ambaye namuwekea si chini ya laki 2 kila wiki, hiyo sio ya kula wala mavazi, ni vocha na matumizi yake binafsi, gari yake muda wote ina mafuta, nikamfanya kuwa Malkia kuliko mama angu mzazi, anatokea mama mmoja humu anasema mimi katili, katili gani duniani anaweza kufanya mambo km haya niliyomfanyia huyu binti, tamaa zimepita kiasi kila hela anaitaka, haridhiki, elfu 70 sijui laki inamtoa iman, tuweni serious kdg nyie.