Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua


Kwa mfano wa ni mwanaume, Ukisema umuache mwanamke kisa umegundua kakusaliti, utaacha wangapi, sometimes ni kukausha tu Saint Anne
 
Kwa mfano wa ni mwanaume, Ukisema umuache mwanamke kisa umegundua kakusaliti, utaacha wangapi, sometimes ni kukausha tu Saint Anne
Mkuu makosa ya usaliti hata maandiko yameainisha.


Halafu kumbuka hata ndoa walikuwa hawajafunga,
Na makubaliano yao ilikuwa hakuna kusalitiana,na endapo ikitokea usaliti basi usijulikane.
 
Kama ni mwislam, mna haki ya kulipa kisasi. Lkn ki ujumla, umefanya ujinga wa hali ya juu, maana mwisho wa siku hautavuna chochote cha maana. Na huo siyo uanamme, ni uboya tu kama uboya mwingine
 
We boya tu
Pamoja na mapungufu yake bora huyo binti hakuolewa na wewe, kama alikumiza wewe iweje uwaumize Hadi ndugu zake, utalipa kwa uliyofanya.
Jinga kabisa huyu jamaa. Huo siyo uanamme, ni ushetani. Na hautokuja kuoa tena bwege wewe
 
Demu mwili ni wake
Maisha ni yake
Maamuzi juu ya mwili wake ni yake.
Umeona yameingilia interest zako, unapotea tu siyo kufanya revenge. Halafu uvune nini?
 
Kumbuka kuwa,mtu asiyesamehe na yeye hatasamehewa,hilo tendo ukilifanta utaishia kuwa mgonjwa milele moyoni mwako
Jamaa kajitahidi kulipiza kisasi..ila gharama ambayo ataishi.nayo ni kukosa amani ..maana pamoja anajiliwaza karevenge..ila nafsi haiwezi mtulia kabisaaa..na mbaya zaidi kumpata mwenzi wa maisha itakuwa mtihani sanaaa...!
 
Vp PM yako inaendeleeaje!?
 
Hivi ndivyo mwanaume anavyotakiwa kuwa, msimamo thabiti, hata ikibidi kufa, ni sawa tu. Tembea humo Mkuu achana na hawa wamama.
Ndugu koroe tunaokuelewa hapa ni watu wachache sana....
Mi niko ka wewe Hua siwezi Kuwa na wanawake wawili kwa wakati mmoja maana sio fair.
Mwisho inauma sana mwanaume unapokua huchepuki na huna mchepuko afu mwanamke wako awe anacheat.. aseee acha nikae kimya tu. Ila hongera sana koroe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…