TUENDELEE..
Mazungumzo na yule binti yakaanza huku tunakula, akasema amesikia kilichompata rafiki yake, cha ajabu huyu binti hakuonesha kusikitika bali alinipongeza kwa maamuzi yale ya kiume, na akasema anapenda mwanaume mwenye misimamo km mimi. Akanieleza jinsi alivyokuwa ananisaliti na yeye akawa anajaribu kumshauri sana kuhusu ile tabia mbaya lakin haikusaidia. Nayeye nikamuona ana mambo ya kipuuzi puuzi, km alikuwa anajua yote hayo kwanin hakuinterven kipindi kile kile, nikajua ni mbongo km walivyo wabongo wengine tu. Muda ukawa unaenda huku tukipiga story mara giza likaingia.
Nikamwambia aingie kweny gari nimpeleke kwake anakoishi akaanza mapozi yake ya kingese, mara ooh amefanya usafi amechoka, so anaomba apumzike kidogo pale kwangu, sijui nyumba kubwa km ile why aniache peke yangu, mara sijui nina mawazo meng so aniliwaze tupige story then ataenda, nilishajua anataka nin but nikawa namuona km ndezi tu maana sinaga muda na kufanya mapenz na mwanamke nisiye na mpango naye. Nikamwambia poa abaki muda wa kuondoka ukifika atasema, akaenda jikoni akawa yupo buzy na vyombo huko na usafi wa jiko. Mara saa 3 usiku hii hapa, binti yupo tu. Nikamshtua kuondoka akasema muda umeenda sana na pale kwao kuna geti na rafiki yake anayemfunguliaga geti hayupo akaomba abaki hadi kesho, nikamwambia fresh tu.
Nyumba yangu ni kubwa tu, nikampeleka chumba kingine akalale huko, namimi nikawasha gari kwenda kuangalia mechi ya Liver usiku ule, akaomba namba yangu kwamba usiku ikitokea shida iwe rahis kunishtua, nikaona sio shida. Nikiwa mpiran akawa ananitext msg za kijinga jinga, mara baridi mara sijui anaogopa na upuuzi mwing mwingi, mechi ilivyoisha nikarud nikampigia aje kinifungulia geti, akaja yupo na khanga moja akanikumbatia eti alinimiss, toto la kimbulu lile mashallah kweli kweli, tako km lina spring hivi, linanesa nesa ndani ya khanga, chuchu konzi, guu la haja, nikasema hapa pagumu leo, ila nikazimilia kwamba sitafuni huyu binti.
Tukaingia ndan, nikamuwish usiku mwema nikaingia chumban kwang, nikaoga then nikajipumzisha, haikupita muda bint akagonga mlango wangu, nikamfungulia, akaingia room kwang na akaniomba nimruhusu alale mule ndan kwangu maana kule anaogopa usiku ule na hawezi kupata usingizi, nikaona mtego huu ila lazima nikomae hata kifo nisimtafune Yule mtoto, maana nikimla itakuw kosa kubwa lazima afanye juu chini ijulikane then rafiki yake akijua atapata cha kusema kwamba nimemkazia kwa ajili ya yule rafiki yake.
Naapa kabisa kwa miungu yote yule binti sikumla siku ile, alilala ghetton kwang lakin lile jaribu nililishinda. Asubuh akaniandalia chai akasepa, akiwa njian akaniandikia text kwamba hajawahi kukutana na mwanaume wala kuwaza km kuna mwanaume mwenye msimamo km mim Dunian, akachanika wazi kwamba amenielewa, anaomba tufanye maisha, nikamuuliza vp kuhusu rafiki yake akijua, akadai rafiki yake sio ndugu, so tunaweza kuwa wapenz, nikaona ni upuuzi nikamwambia aachane na hiyo idea maana haiwezekani.
Akawa msumbufu, bahati nzuri muda wa mapunziko ukaisha nikarudi kazin, kwa kuwa Tanga nilikuwa tayari nimekamilisha mission iliyonipeleka sasa nikahamia morogoro kuendelea na mission ya majukumu yangu.
Nikiwa morogoro nikapata simu kutoka kwa mama wa yule binti....
ITAENDELEA...
Mrejesho: Sehemu ya tano