Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Yaani kuulizwa swali hili tu tena huku mtu yupo kwenye gari na anakupa maagizo ukafikirie ndiyo unaita majaribu? Ama kweli dada zetu mpo desperate.
 
Very good.
 
Aiseee!!
Haya mambo yapo serious kiasi hicho? [emoji15]
Binafsi nilidhani changamsha genge.


Ila kwa ile revenge, lazima tu wangereact kwa namna moja ama nyingine
Aisee[emoji1544]

Tuhadithie kwa uchache Mkuu.
Ila alichofanya huyu mwamba ni sahihi Sanaa
WATOTO WA kike WA miaka ya hivi karibuni wengi ni Malaya Malaya mnoo Yaani hata umpende vipi ,hapendeki halafu Sasa unaweza shangaa analiwa na MTU WA ajabu sana
Nikupe mkasa,siku Moja nimelala ndani kwangu mara nagongewa"Niko Dom kikazi Kwa mda Sasa nimepanga"Sasa kadada kamekuja kananiomba kulala kwangu Kwa kua bwana Ake akilewa anampiga mpk anazimia ,nikamkubalia nikafunga mlango ,within 2hrs za maongezi ananiambia ana bwana wake mwingine anaemhudumia,mambo kibao mara ana mimba hamjui baba yupi,mara sijui hvi mara vile miye Niko hapo naangalia game ya Cape Verde na Bafana Bafana,nilishangaa sana ujue nikaona ananiboa TU mimi...kwanza Hana haiba ya kike yule Binti ,Yaani hajitambui hata kidogo Yaani jus a stranger like me kuniambia mambo yake nikajua hapa hamna mtuu
WATOTO wetu kike WA kizazi Cha 1995 kuja ni hovyo mno kuliko hovyo yenyewe wao lakini waliotulia japo ni wachache mnoo"

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Malaya Malaya ndo watamuona mshikaji ana roho mbaya na wengine wanaume wana hasira wake zao au wachumba zao wanagongewa na hawana Cha kufanya hvyo wanatoa hasira Kwa mshikaji ila km ni kaka yangu Nampa sapoti 100%wanawake wengi siku hizi Malaya sanaaa Tena mnoooo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sawa kaka provided that ulishamtahadharisha,mwenzenu nikiwambia kwamba sitokuja kuchepuka maisha yangu yote hamniamini.Mwanamme anakupenda,anakupa kila kitu anahangaika huku na huko atafute kwa ajili yako alafu kizembe zembe unagawa tamu yake? unatafuta nini kama sio gunia mbili za mkaa.
Mi aliniambia atanikata shingo kabisa japo ni kama utani ila sikupuuzia na sikuona kama ni shida ikiwa ananitreat kama malikia.
Wanawake nawaibia siri olewa na mtu anayekupenda,alafu muheshimu nakwambia utakula mema ya nchi
 
Yaani Bina inahuzunisha
Sasa alikuwa anakuambia mambo yake ya hovyo jamani...Kwa style hiyo ashindwe kudundwa kweli😂
Mtu una mwanaume ana nia thabiti na anakuhudumia vizuri, sijui unataka nini tena jamani!
Ila wanawake sisi🙌🏿

Jamaa amefanya sahihi kumuacha, Sema kaumiza pia na wazazi wake ambao hawana Hatia na sidhani kama walikuwa wanajua chochote kuhusu upuuzi wa huyo binti Yao.
Kweli mchuma janga hula na wakwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…