Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Basi usisome Hadi mwisho maana utalia sana๐๐๐๐Najuta! Machozi yamenilenga nimezima jiko! nimekaa kwanza chini! Mungu aniepusha na mwanaume shetani namna hii๐๐พ Hapo ni kama mwanamke aliua kwao aisee! Ukimuacha tu mtu unakuwaje? Mshenzi sana huyu koroe mbwa kabisa!
Nimesoma mpaka chapter iliyoandikwa mwisho! Au aliendelea? Kaniudhi๐คBasi usisome Hadi mwisho maana utalia sana๐๐๐๐
Unafikiri alichofanya huyo binti Jambo dogo kwa mwanaume muaminifu?Najuta! Machozi yamenilenga nimezima jiko! nimekaa kwanza chini! Mungu aniepusha na mwanaume shetani namna hii๐๐พ Hapo ni kama mwanamke aliua kwao aisee! Ukimuacha tu mtu unakuwaje? Mshenzi sana huyu koroe mbwa kabisa!
Hujafika mwisho Bado๐๐Nimesoma mpaka chapter iliyoandikwa mwisho! Au aliendelea? Kaniudhi๐ค
Sio jambo dogo ni jambo hatari hata kwa afya ya mahusiano yao! Ila huo ukomeshaji wala sio sahihi! Unamlipiza mtu zaidi ya alichokifanya ili upate faida gani? Mtu wa aina yake hata kuishi naye ni risk sana kosa dogo mbona utajuta!Unafikiri alichofanya huyo binti Jambo dogo kwa mwanaume muaminifu?
Huyu kaka sio mchezo! Kwa afya ya akili yake asioe tu! Ana roho ngumu mno kama anasimlia ukweli! Ngoja nikitulia nifunyue loh! Hapana aisee!Hujafika mwisho Bado๐๐
Mwaka juzi alikuja tena akaleta muendelezo wa comeback ya Baba mkwe
Baba mkwe alikuja na comeback
Jamaa akamgeuzia kibao hadi Baba mkwe akataka kujinyonga๐๐๐
Huyu jamaa wala siyo hatari.Sio jambo dogo ni jambo hatari hata kwa afya ya mahusiano yao! Ila huo ukomeshaji wala sio sahihi! Unamlipiza mtu zaidi ya alichokifanya ili upate faida gani? Mtu wa aina yake hata kuishi naye ni risk sana kosa dogo mbona utajuta!
Huyu ndio KOROE the Killer๐๐๐๐Huyu kaka sio mchezo! Kwa afya ya akili yake asioe tu! Ana roho ngumu mno kama anasimlia ukweli! Ngoja nikitulia nifunyue loh! Hapana aisee!
Yani unamuua ili upate faida gani? Ukimgundua mtu hajatulia muache tafuta aliyetulia mnapenda kujipa kazi ngumu tu! Unahisi wazazi walivyomjua wamemkana binti yao? Mzazi ni mzazi tu, hakuna mtu atakayekuvumilia mapungufu yako isipokuwa mzazi! Hiyo tabia ya kuwahaukumu na kuadhibu watu as if nyinyi ni wasafi wala haiondoi uwepo wao! Mtawatisha siku mbili tatu wataendelea kula life! Wewe umeshagundua mtu fulani ni mchafu hakufai unaenda mdhalilisha inasaidia nini? Hapo dawa ni kuachana naye tafuta watakatifu wenzio! Mbona simple kabisa..Huyu jamaa wala siyo hatari.
Wenzie wanauwa kabisa kwa tukio mfano huo.
Binti ana bahati sana.
Kwanza jamaa kawasaidia wazazi wa binti wamjue binti yao.
Seran2022-2024, kuna vitu kimetokea very interesting. Kumbe yule jamaa aliyetembea naye aliyekuwa anataka na side B alikuwa HIV+. Na km mnakumbuka tang nigundue kwamba simuelew elewi sikuwahi kulala naye tena, so nipo salama kbs sina VVU..
Ilikuwaje nimejua? Nani alinambia? Kuna mambo yalitokea hapa katikati pia.. kuna msala mzito sana ulitokea wa Polisi kupewa pesa na baba ake binti waje wanifanyie kitu mbaya, labda mzee alijua mi ni mwepesi, ***** moto uliowaka plan ikabackfire hadi polis wakajuta kujiingiza kweny mambo ya kifala, ikapelekea msala kumrudia yule mzee hadi akataka kujinyonga, hii nayo ilikuwaje??
Kuna demu wa JF alikuja PM alijua mim ni Pimbi, ni jimama lina pesa pesa hv kdg, huyu naye ana mkasa wake.. aliyakanyaga huyu, hii naye ilikuwaje?
Wengine pia wanatak kujua yule binti wa Kimburu kiunaga ubaga jinsi nilivyomalizana naye Hadi nikampiga chini, hapa napo pana balaa lake zito pia.
Mambo yapo mengi, nipo chaka sana kwasasa nafanya project moja hivi tough sana.. but Nitarudi niwape mikasa yote hii.
Andaa popcorn zako.
NB: kuna ambao wanadhan huu mkasa ni uongo, siku moja mbele ya safari nitafanya interview na nitawajuza, ila sio hv karibuni.
Duh wangeachana na hayo mambo, visasi vinaweza tembea ikawaafect mpaka ndugu zake kama alivyofanya upande wapili! Yani mapenzi sio uhai watu sijui wanayachukuliaje jamani! Wanayapa uzito mpaka wanapitiliza๐๐พHuyu ndio KOROE the Killer๐๐๐๐
Anamuadhibu kila Mtu.
Mimi nahofia tu Baba mkwe asije kuwa amemteka
Nimesoma mpaka naogopa! Duhh kuna aina ya wanaume hawajui kupuuzia mambo! Huyu naye shangazi alomfuata pm alikuwa anataka nini? Ila wanawake tunajuaga kujidhalilisha ๐
Wanawake sisi ni majasiri sanaNimesoma mpaka naogopa! Duhh kuna aina ya wanaume hawajui kupuuzia mambo! Huyu naye shangazi alomfuata pm alikuwa anataka nini? Ila wanawake tunajuaga kujidhalilisha ๐
Yaani visasi huwa vinaleta majanga sanaDuh wangeachana na hayo mambo, visasi vinaweza tembea ikawaafect mpaka ndugu zake kama alivyofanya upande wapili! Yani mapenzi sio uhai watu sijui wanayachukuliaje jamani! Wanayapa uzito mpaka wanapitiliza๐๐พ
Huyu koroe kamuanika mchumba wake aliyempenda kwa ndugu zake na viongozi wa kanisa, mtu anaamua tu kum pm kimalaya hahha kazi anayo! Ana bahati hakurudi eenh? Angeanaikwa humu huyo kaka ni jasiri mpaka kushika roho yako sio shida zake!Wanawake sisi ni majasiri sana
Huyu Koroe anaweza kukuchoma na debe 7 za magunia ya mkaa na akajisikia amani.
Dada wa watu akajitosa PM kumtest KOROE
Thubutu!
Mtu ana roho ngumu hivyo unaenda kumpelekea drama ๐
Na saingine kapotea miaka yote hiyo huenda kuna jambo limemtokea hata kuwekwa ndani kwa kesi hizohizo! Na maroho huwa yanawapelekesha watu, unavalishwa ujasiri wa ajabu unajawa roho ya kishetani unahisi ni wewe kumbe unatumika tu! Kuna watu huwa hawaachilii jambo likatize nakwambia, hiyo familia itaisoma!Yaani visasi huwa vinaleta majanga sana
Hukumu ya haki anatoa Mungu .
Mungu awalinde tu pande zote wawe salama
Wasije kuuana kabisa.
Ndio tunasubiri arudi na stori ya Baba mkwe wake,alisema Kuna project anafanya imemuweka busy.Huyu koroe kamuanika mchumba wake aliyempenda kwa ndugu zake na viongozi wa kanisa, mtu anaamua tu kum pm kimalaya hahha kazi anayo! Ana bahati hakurudi eenh? Angeanaikwa humu huyo kaka ni jasiri mpaka kushika roho yako sio shida zake!
Wenzie wsnamsifia kuwa alifanya Vizuri ila kiukweli hicho kisasi kimepita kiasi.Na saingine kapotea miaka yote hiyo huenda kuna jambo limemtokea hata kuwekwa ndani kwa kesi hizohizo! Na maroho huwa yanawapelekesha watu, unavalishwa ujasiri wa ajabu unajawa roho ya kishetani unahisi ni wewe kumbe unatumika tu! Kuna watu huwa hawaachilii jambo likatize nakwambia, hiyo familia itaisoma!