Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si umesema mwenyewe....unayakana maneno yakoUna uhakika na hili?
Ni hivi, mi huwa siumizwi alafu anayeniumiza akabaki salama, nikiumizwa mi nakuumiza
Tarehe 7 january, save the date....
USIPOTEZE MUDA KUNISHAURI CHOCHOTE, HUWA NIKIPANGA SIPANGUI..
Safi sana kamanda namuunga mkono amuumize tu alafu afunge ukurasa mkuu huu si mwaka wa maumivu na mateso ni mwaka wa kutafuta maishaHuu ndo uanaume we jamaa kagombee ubunge
uniite nije nishuhudieHatimae tarehe 07 inakaribia.
Usijali, akileta tu mrejesho ntakiuta fasta.uniite nije nishuhudie
wewe ni mpumbavu kuliko wapumbavu wote, sisi wenzio wanaume hatuko hivyo. kwa taarifa yako, itakugarimu sana, umemzaa huyo mwanamke hadi ujione wewe ndio umeumizwa sana kiasi cha kumteketeza naman hiyo? si umemjua juzi tu? halafu, ukifanya hivyo hautabaki salama, jiandae either kufa, kufutwa kizazi au kufanywa zezeta. usione hao machizi kwenye majalala ukafikiri walizaliwa hivyo, walifanya jambo ambalo ni la kipumbavu mtu akalipiza kisasi. hivi unaamini mimi nina dada yangu kwa mfano, unamfanyia hivyo halafu nakuacha tu, utaliwa tigo mjinga wewe. mashangazi zake, mama zake, wazazi wake etc, bibi zake, unafikiri watakuacha salama, ulimzaa wewe huyo binti, hata kama ana kosa, una haki gani kwake kufanya hayo? wewe utakuwa na matatizo makubwa sana halafu maisha yako si marefu sana nakuhakikishia kama utakuwa na akili kama hiyo. hao wanawake wakati mwingine usiwaone wanatoa milio ya kwenye ngono, ukiwafanya kitu kibaya huwa wanaweza kufanya kitu cha ajabu sana dhidi yako kwa siri. beware!Kwa ufupi hii ni taarifa tu, so ushauri wako hautabadili chochote wala kuongeza chochote, vipi lakin uzima upo??
USIPOTEZE MUDA KUNISHAURI CHOCHOTE, HUWA NIKIPANGA SIPANGUI..
binti wa watu ajidhuru au aaibike halafu atajua kuwa kumbe ana ndugu wengi na hatari kiasi hicho? ukatili anaoupanga ni mkubwa sana kiasi kwamba lazima ndugu wataingilia kati.da Kama kweli utafanya hivyo utakua umemfanyia ukatili WA hali ya juu!Angalia Tu asije akajiua.