Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Ukisema mwalimu wetu ni shetani unakosea.
Wewe sema mkeo na binti ya Jamaa mwalimu wao ni shetani.

Wanawake waaminifu tupo/wapo.

Tuhadithie kidogo mkuu.
Ni kweli maana wapo wanawake wanaojielewa.

Nikikusimulia mkasa wangu hapa nitakuwa naharibu mjadala wa uzi huu. Maana matukio yangu ni mengi ya furaha, hasira, uzuni na shamba darasa kwa wengine.

Unaonekana unahamu sana ya kupata umbea. Tena jambo zuri ni kwamba huyo aliyekuwa mke wangu ni member humu JF na ninajua hadi jina analotumia humu. Nimeambiwa anapitia wakati mgumu kama huyu dada aliyesimuliwa kwenye uzi huu.
 
Hujamkomoa, kwani yeye kakutafuta?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una akili ndogo sana, katika yote niliyoandika kuna pahala nimekwambia kutomtafuta kwangu kulikuwa na nia ya kumkomoa!? Huwa siishi maisha ya visasi ila inapobid ninafanya, siishi maisha ya kumkomoa mtu wala kumpendeza mtu. Ninachokifanya mimi kama hakivunji sheria ya nchi nitafanya tu bila kujali mazoea yenu.
 
Mwanamke ambaye namuwekea si chini ya laki 2 kila wiki, hiyo sio ya kula wala mavazi, ni vocha na matumizi yake binafsi, gari yake muda wote ina mafuta, nikamfanya kuwa Malkia kuliko mama angu mzazi, anatokea mama mmoja humu anasema mimi katili, katili gani duniani anaweza kufanya mambo km haya niliyomfanyia huyu binti, tamaa zimepita kiasi kila hela anaitaka, haridhiki, elfu 70 sijui laki inamtoa iman, tuweni serious kdg nyie.
Nasemaje wewe ni shujaa wa afrika na sio yule jiwe tulieaminishwa.....

Ila mdau ninavyopenda ngono mie huyo mwenzie ningeshamla halafu naendelea na msimamo wangu kama kawa
 
Ungemfanyia hivyo Dada yangu nakwapia usinge andika huu upuuzi hapa yani mama yangu alie kwa sababu yako familia yetu ikose aman ningepambana na ww kihuni zaid
 
Ni kweli maana wapo wanawake wanaojielewa.

Nikikusimulia mkasa wangu hapa nitakuwa naharibu mjadala wa uzi huu. Maana matukio yangu ni mengi ya furaha, hasira, uzuni na shamba darasa kwa wengine.

Unaonekana unahamu sana ya kupata umbea. Tena jambo zuri ni kwamba huyo aliyekuwa mke wangu ni member humu JF na ninajua hadi jina analotumia humu. Nimeambiwa anapitia wakati mgumu kama huyu dada aliyesimuliwa kwenye uzi huu.
Naomba utafute namna unihadithie mkuu.

Oh,kumbe ni member mwenzetu humu.
 
Ila na sisi wanawake saa nyingine sijui tunatakaga nini! Mimi mwanaume mwenye mapenzi ya kweli tu ambaye hachepuki kwangu inatosha kumpenda na kumheshimu sana tu, hata kama hanipi chochote, sembuse huyu ambaye hachepuki na bado kuna vitu ananipa ndiyo nimchukulie poa na kumsaliti kweli daah!
 
Umeona eehh!yaani
 
Mbaya zaidi mtu anawaza kwenda kuliwa tigo

Na hapo hapo katangaziwa ndoa
 
Back
Top Bottom