GEMBESON
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 1,463
- 3,193
Ni kweli maana wapo wanawake wanaojielewa.Ukisema mwalimu wetu ni shetani unakosea.
Wewe sema mkeo na binti ya Jamaa mwalimu wao ni shetani.
Wanawake waaminifu tupo/wapo.
Tuhadithie kidogo mkuu.
Nikikusimulia mkasa wangu hapa nitakuwa naharibu mjadala wa uzi huu. Maana matukio yangu ni mengi ya furaha, hasira, uzuni na shamba darasa kwa wengine.
Unaonekana unahamu sana ya kupata umbea. Tena jambo zuri ni kwamba huyo aliyekuwa mke wangu ni member humu JF na ninajua hadi jina analotumia humu. Nimeambiwa anapitia wakati mgumu kama huyu dada aliyesimuliwa kwenye uzi huu.