Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
🤣🤣🤣Hatar ana roho ngumu sanaMkuu japo inaonekana uchumi wako upo njema lakini ikitokea kazi ya KUNYONGA WATU MAGEREZANI OMBA uendeleze kipaji chako uifanye Kama hobby tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Hatar ana roho ngumu sanaMkuu japo inaonekana uchumi wako upo njema lakini ikitokea kazi ya KUNYONGA WATU MAGEREZANI OMBA uendeleze kipaji chako uifanye Kama hobby tu
Khakhaaaa hii ni revenge kubwa sana, sio kila mtu ni wa mchezo mchezo humu duniani alaaaaaaTUENDELEE...
Nikaona mambo yasiwe mengi, nikamwambia poa aende akamrudishe rafiki yake kwenye ndoa yake and mimi nitamfkiria kuhusu ombi lake, nilishajua tayari ashakuwa dhaifu kwangu so hawezi kunizid maujanja, hata km anasema uongo bado hauwez kuniathiri maana lazima nimzid akili, kwanza ananipenda kimapenz hivyo tayari yupo kwenye ugonjwa wa akili hawezi kushindana namimi mwenye akili timamu, and nikapanga kabisa kwamba siwezi kuwa naye yule manzi.
Akaenda akamdanganya kwamba nimepata ajali na nina hali mbaya nimekimbizwa India, na kwa jinsi hali ilivyo sijui km nikipona nitabaki na uwezo wa kufanya chochote Kwahiyo akamwambia rafiki yake akakomae tu na ndoa yake, na akaishi na yule mwanaume maana kwangu tena maji yameshamwagika, binti akaona hakuna jinsi akarudi kwa mume wake, jamaa ndo hivyo akampokea maana ndo km anakopatia ridhiki, nasikia kumbe kipindi anakuja huku alikuwa tayari kanasa ujauzito wa mshikaji, ndo huyu rafiki yake akawa ananiambia alikuja kugundua baadaye km ni mjamzito means km mimi ningejichangnya kuwa naye kipind hiki basi ningetupiwa hilo zigo kumbe la mume wake huko.
Japo binti hana amani kwenye ndoa ile so dizain km anapanga mbinu amtoroke aende akaishi maisha yake peke yake. Huyu rafiki yake akaniambia yupo kwenye process ya kutoa ile mimba maana hataki kuzaa na mshkaji wake, then apotee kokote akaishi mwenyewe. By the way hainuhusu hiyo sasa, azae asizae, aishi au aondole anajua yeye.
Maisha yangu yameanza upya na dizain km yule demu karidhika na kuamin kwamba sipo nchini nipo India kwa matibabu, maana baadaye ikanilazimu nibadili tena namba za simu, sasa mtihan ninao kwa huyu rafiki yake maana ananipenda na anataka nitimize ahad maana kazi ameshaifanya. Hadi leo sijamla na sitamla, na hili kwangu ni dogo sana na nitalimaliza tu kirahisi.
Nimepata aman sana na sikumbuki ubaya na maumivu yote aliyonitendea yule binti, nimeridhika kwa hiki.
Yapo mambo mengine nimeyaexclude maana stori ingekuwa ndefu sana, ahsanten kwa kunifuatilia tangu mwaka 2017 hadi leo 2021.
MWISHO,
Alifanya ukatili sana ategemee malipo na yeye kwann hakumuacha tu na maisha yake? Atakuwa na matendo magumu sana atajikuta anaoa kila siku......anafanya ivo ukute ata mtu anayemuita baba ake sio biological faza ata maza ake alikuwa na mazambi vilevile
Akae akijua siku akizingua ntamfanya kitu mbaya zaidi huyo wa KOROE.Nimecheka sana ...
Sasa kwanini ubandike ukutani mkuu 😂😂😂😂😂😂
The same to me.Mimi nilishasema mwanamke niwe nimeishi nae hata miaka 20 tuna watoto sita..sitosamehe wala kujiuliza mara mbili kama akitafunwa huko nje na nikajua. Narudia sitosikiliza hata neno moja kutoka Mbinguni wala popote pale
Sasa hapo Mimi nimefanya nini...?Kumbe chai zilikuwa na waasisi nilidhani ni member wapya tu
Jamaa ni roho ya korosho kweli kweliNikiwa mkubwa nataka niwe na msimamo kama wewe bro.
Ume ni inspire, wewe unafaa kuwa 'rolimodo'.
Kuna watu ni mamafia ila ni mpaka uwa activate kwenda kwenye 'mafia mode'. Wakiwa tu kawaida ni wapole na wastaarabu.Jamaa ni roho ya korosho kweli kweli
Kumbe wabunge wote ni wanaume tu! 😁😁Huu ndo uanaume we jamaa kagombee ubunge
tolerate as you can, be harsh after you planKuna watu ni mamafia ila ni mpaka uwa activate kwenda kwenye 'mafia mode'. Wakiwa tu kawaida ni wapole na wastaarabu.
Uvivu wa kusoma comments tu, nilishasoma
Naam Ina muendelezo hadi mwishoKumbe Miaka Inakwenda Aisee Hii Stori Siku Imepandishwa Humu Niliisoma Ikiwa Ma Komenti Zisizozidi Tano Ila Leo Naangalia Ina Komenti #90
Hivi Ilikuwa Na Mlejesho?
Nimetoka kumaliza ile ya Hamida leo😂😂 ngoja nianze na hii