Revenge: Yanga yamsajili Mudathir Yahya

Na congo
 
Utani tu sasa mbona unapayuka
 
Tukiwaambia Utopolo hamna akili timamu muwe mnaelewa,huyu anayezumgumza hivi dakika moja iliyopita alianzisha uzi kuwa haelewi usajili wa mudathir [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji115][emoji115]
 
Unaumia nini.?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Revenge??😂😂
Mchezaji ana miezi 6 toka aachane na azam sa hapo inakuaje revenge?
 
Yanga Mwaka 2022 walikuwa Bora Kwenye Kusajiri, Nilivyoona Tangazo lao leo kuwa Wanatambulisha Mchezaji Nikajua kuna Machine moja Ya Nguvu sanaa Inashukaaa with Reference na walichokifanya 2022.

Nikakumbuka walisema watasajiri only 2/3 players Dirisha hili nikasema Simba Tumekwisha Leo.

Nikaangalia Matangazo yao nikaona Bomu Kubwa linataka kuribuka nikajua Simba Leo hakutakalika na Kocha Wetu tulie mtangaza leo Atazimwa na Usajiri huu wa Yanga. Nikikumbuka Yale Mafunguo nikalinganisha na Bomu nikajua Simba leo tutakoma.

Mwisho wa Siku Anatangazwa Mchezaji alie achwa miezi 6 nyuma, Akiwa na Record Mbovu Alikotoka…. nikasema tuuu “Eeeeeeh”
 
SHIDA YA KUAGIZA VITU ONLINE UNAAGIZA AKAMINKO UNALETEWA MUDATHIR MABANGE [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Usajili mzuri kwa wazawa,ukiona mtu anatoa povu ujue ni wivu na roho mbaya,hakuna asijejua ubora wa Mdadhiri[emoji123]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…