tony92
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,398
- 3,691
Hawa mbumbumbu ndugu yangu ni kazi sana kuwaeleweshaUnakumbuka kipindi Morrison anakuja Yanga alikua hana timu kwa muda wa miezi mingapi??..[emoji1745][emoji144]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa mbumbumbu ndugu yangu ni kazi sana kuwaeleweshaUnakumbuka kipindi Morrison anakuja Yanga alikua hana timu kwa muda wa miezi mingapi??..[emoji1745][emoji144]
Yanga wameamua kumsajili kiungo aliyeachwa na Azam kama mchezaji huru
Wenyewe hawajafurahii wamenuna sasa cjui walijua anatambulishwa nani,
Wameanza kutupigia mabomu huko insta toka juzi utasema wanataka kuzindua uwanja wao mpya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2467902
Hongera kwa kumvunjisha mkataba wa Azam na kumsajili kama mchezaji huru 😆Kama Kibu anacheza, kama Mzamiru anacheza, kama Kiyombo anacheza, kama Mwanuke, Okwa na Kapama wanacheza, Mudahir anashindwaje
Madhara ya kuagiza vitu online hayo mkuu,unaagiza bobosi unaletewa mvuta masigaraYanga Mwaka 2022 walikuwa Bora Kwenye Kusajiri, Nilivyoona Tangazo lao leo kuwa Wanatambulisha Mchezaji Nikajua kuna Machine moja Ya Nguvu sanaa Inashukaaa with Reference na walichokifanya 2022.
Nikakumbuka walisema watasajiri only 2/3 players Dirisha hili nikasema Simba Tumekwisha Leo.
Nikaangalia Matangazo yao nikaona Bomu Kubwa linataka kuribuka nikajua Simba Leo hakutakalika na Kocha Wetu tulie mtangaza leo Atazimwa na Usajiri huu wa Yanga. Nikikumbuka Yale Mafunguo nikalinganisha na Bomu nikajua Simba leo tutakoma.
Mwisho wa Siku Anatangazwa Mchezaji alie achwa miezi 6 nyuma, Akiwa na Record Mbovu Alikotoka…. nikasema tuuu “Eeeeeeh”
Wanaanza mwaka vibaya,kwa akili hizi bado wana kazi kubwa sn[emoji23]Hawa mbumbumbu ndugu yangu ni kazi sana kuwaelewesha
Morrison n machachari Tu...embu leta takwimu zake mpk sahv za kwenye ligi magoli / assist[emoji23]Unakumbuka kipindi Morrison anakuja Yanga alikua hana timu kwa muda wa miezi mingapi??..[emoji1745][emoji144]
Sasa utamuelewesha nani kuhusu Mudathir? 😆Hawa mbumbumbu ndugu yangu ni kazi sana kuwaelewesha
Machachari yake anayajua ManulaMorrison n machachari Tu...embu leta takwimu zake mpk sahv za kwenye ligi magoli / assist[emoji23]
Sasa simba mnakiungo gani apo kati
Jibu swali acha ushabiki maandazi [emoji23]Morrison n machachari Tu...embu leta takwimu zake mpk sahv za kwenye ligi magoli / assist[emoji23]
Si ndo hvyo nimekujibu Hana lolote zaidi ya umachachari Tu[emoji23] hata km amekaa muda mrefu bila timu...let's takwimu zake za msimu huuJibu swali acha ushabiki maandazi [emoji23]
Kumbe Ndo mmemsajili Kwa kazi hyo?[emoji23]Machachari yake anayajua Manula
Unajiskiaje,baada ya mwamba kukiwasha?Usajili wa hovyo kufanywa na Yanga baada ya ule wa Yikpe
Una kituAkili nyingi sana.. Kiungo mkata shombo. Ni heri uwe na huyu mpemba muislamu kuliko kuwa na Bigirimana anaye ingia na kutoka kwenye kikosi cha kwanza.
Tanzania hakuna kiungo mkabaji mzawa kama Mudathir Yahaya..
Itoshe kusema viongozi wametumia akili nyingi, waliona huwezi kumwacha Bigirimana wakati huna mtu wa kushika nafasi yake. Ujio wa Mudathir ni ishara tosha Nafasi ya kigeni ya Bigirimana kinakuja Chuma cha pua.
Sasa wakati Yanga wanasajili wachezaji, kuna timu zinaleta wapiga Nyeto. Baada wakigongwa waanze kusingizia bahasha.
Kiungo PUNDA + Kiungo NUNGUNUNGU = Mudathir yaha.. Ukitaka ndio Usipo taka ndio.
Nimefuta kauli,. muda ni Mwalimu mzuriUnajiskiaje,baada ya mwamba kukiwasha?