Revenge: Yanga yamsajili Mudathir Yahya

Revenge: Yanga yamsajili Mudathir Yahya

Yanga wameamua kumsajili kiungo aliyeachwa na Azam kama mchezaji huru
Wenyewe hawajafurahii wamenuna sasa cjui walijua anatambulishwa nani,
Wameanza kutupigia mabomu huko insta toka juzi utasema wanataka kuzindua uwanja wao mpya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2467902

Ndio Mumtambulishe Kwenye Gereji Ya Mafuso? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
IMG_0486.jpg
 
Kama Kibu anacheza, kama Mzamiru anacheza, kama Kiyombo anacheza, kama Mwanuke, Okwa na Kapama wanacheza, Mudahir anashindwaje
Hongera kwa kumvunjisha mkataba wa Azam na kumsajili kama mchezaji huru 😆
 
Chukwu emeka ile season ya comedy naona 2023 ikiwa imefana

Baada ya kumkatibisha Kambole kwa utambulisho wa aina yake (kumvisha taulo)

Naona leo mmeamua mje na Mudathir kuziba gape la Feisali tena kwa mikogo ya bomu kama intro

Kama mwanzo wake ndio hivi aiseee huu mwaka tutashuhudia mengi sana
 
Yanga Mwaka 2022 walikuwa Bora Kwenye Kusajiri, Nilivyoona Tangazo lao leo kuwa Wanatambulisha Mchezaji Nikajua kuna Machine moja Ya Nguvu sanaa Inashukaaa with Reference na walichokifanya 2022.

Nikakumbuka walisema watasajiri only 2/3 players Dirisha hili nikasema Simba Tumekwisha Leo.

Nikaangalia Matangazo yao nikaona Bomu Kubwa linataka kuribuka nikajua Simba Leo hakutakalika na Kocha Wetu tulie mtangaza leo Atazimwa na Usajiri huu wa Yanga. Nikikumbuka Yale Mafunguo nikalinganisha na Bomu nikajua Simba leo tutakoma.

Mwisho wa Siku Anatangazwa Mchezaji alie achwa miezi 6 nyuma, Akiwa na Record Mbovu Alikotoka…. nikasema tuuu “Eeeeeeh”
Madhara ya kuagiza vitu online hayo mkuu,unaagiza bobosi unaletewa mvuta masigara
 
Unakumbuka kipindi Morrison anakuja Yanga alikua hana timu kwa muda wa miezi mingapi??..[emoji1745][emoji144]
Morrison n machachari Tu...embu leta takwimu zake mpk sahv za kwenye ligi magoli / assist[emoji23]
 
Kama ni hitaji la kocha basi hakuna shida yoyote, yeye ndio atajua jinsi ya kumtengeneza au kumtumia.
Ila kama ni hitaji la viongozi bila kocha kumhitaji wajue hapo wamepuyanga.
 
Akili nyingi sana.. Kiungo mkata shombo. Ni heri uwe na huyu mpemba muislamu kuliko kuwa na Bigirimana anaye ingia na kutoka kwenye kikosi cha kwanza.

Tanzania hakuna kiungo mkabaji mzawa kama Mudathir Yahaya..

Itoshe kusema viongozi wametumia akili nyingi, waliona huwezi kumwacha Bigirimana wakati huna mtu wa kushika nafasi yake. Ujio wa Mudathir ni ishara tosha Nafasi ya kigeni ya Bigirimana kinakuja Chuma cha pua.

Sasa wakati Yanga wanasajili wachezaji, kuna timu zinaleta wapiga Nyeto. Baada wakigongwa waanze kusingizia bahasha.

Kiungo PUNDA + Kiungo NUNGUNUNGU = Mudathir yaha.. Ukitaka ndio Usipo taka ndio.
Una kitu
 
Back
Top Bottom