Revenge: Yanga yamsajili Mudathir Yahya


Ndio Mumtambulishe Kwenye Gereji Ya Mafuso? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kama Kibu anacheza, kama Mzamiru anacheza, kama Kiyombo anacheza, kama Mwanuke, Okwa na Kapama wanacheza, Mudahir anashindwaje
Hongera kwa kumvunjisha mkataba wa Azam na kumsajili kama mchezaji huru 😆
 
Chukwu emeka ile season ya comedy naona 2023 ikiwa imefana

Baada ya kumkatibisha Kambole kwa utambulisho wa aina yake (kumvisha taulo)

Naona leo mmeamua mje na Mudathir kuziba gape la Feisali tena kwa mikogo ya bomu kama intro

Kama mwanzo wake ndio hivi aiseee huu mwaka tutashuhudia mengi sana
 
Madhara ya kuagiza vitu online hayo mkuu,unaagiza bobosi unaletewa mvuta masigara
 
Unakumbuka kipindi Morrison anakuja Yanga alikua hana timu kwa muda wa miezi mingapi??..[emoji1745][emoji144]
Morrison n machachari Tu...embu leta takwimu zake mpk sahv za kwenye ligi magoli / assist[emoji23]
 
Kama ni hitaji la kocha basi hakuna shida yoyote, yeye ndio atajua jinsi ya kumtengeneza au kumtumia.
Ila kama ni hitaji la viongozi bila kocha kumhitaji wajue hapo wamepuyanga.
 
Una kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…