DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
Yanga wameamua kumsajili kiungo aliyeachwa na Azam kama mchezaji huru.
Wenyewe hawajafurahia wamenuna sasa cjui walijua anatambulishwa nani.
Wameanza kutupigia mabomu huko insta toka juzi utasema wanataka kuzindua uwanja wao mpya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]