Riadha waahidi Tanzania medali ktk London IAAF World Championship 2017

Kila la kheri vijana wetu na Mungu awatangulie.
Serengeti Boys walituahidi kurudi na kombe na sina uhakika wanaoshikiliwa lupango kama ndio kafara ya kulikosa.
 
Na huko 1950 mlikuwa mnashida kama siku hizi? Huko mlikuwa mnakimbia kihalali na Tanzania na Ethiopia wote walikuwa wanapata medals moja mpaka tatu. Leo kwa boost ya kitu fulani unaona matokeo. Tukimbie ile ya kweli tuone. Magufuli alimwabia Ethiopia PM anaomba Tanzania waka practice Ethiopia, hatukuomba Kenya maana tunajuwa nini kinafanyika Kenya.
whatever makes you sleep at night...but that wont change facts...Kenya is the best...then SA then Ethiopia...hao wengine wote pamoja na tz ni bure...wamarekani na waingereza wanakuja ku practice kule Eldoret Iten..sasa watz ndio akina nani? lol! waende tu kule ethiopia....we only practice with chamions..not sluggards and losers....hehe..tazama hapa...
Mo Farah's Kenya altitude training is crucial for assault on London marathon | Sean Ingle
Here’s why Kenya keeps dominating the world of athletics

Running in Iten
 
whatever makes you sleep tonight...but that wont hange facts...Kenya is the best...then SA then Ethiopia...hao wengine wote pamoja na tz ni bure...
Sawa ntalala vizuri kweli [emoji23]
 
Kwa mambo ya Riadha haswa za masafa marefu Hakuna nchi inafikia Kenya... akina CHina, US UK hua wanashinda hio michezo mingine lakini ikija kwa mbio ndefu hamna kitu

Doy you know that 70% of all elite marathons (wachana na zile marathon za kila mtu) have been won by a Kenyan???

Do you know that in the history of Marathon running, only 17 Americans have run under 2Hours 10 Minutes, In 2011 alone, 32 Kenyans ran under 2:10!
 
Now hold on cowboy, tupe muda to get on shape. Tutawachapa tu soon kama zamani.
na mkifanya hivyo tutafurahi kwani nyie ni wenzetu...ila Kenya kwa riadha ni kama Brazil na Germany kwa soka...sasa usi expect Australia kushinda Brazil kwa world cup final kwa urahisi....tunawapa kichapo cha mbwa uwanjani.. kabla mpate the first medal, we will have 26 medalsl...athletics powerhouses ndio hawa..
Kenya
Jamaica
USA
SA
Ethiopia
 
Lakini Ethiopia haiko mbali, wanawapa joto mkiwakuta uwanjani. Tanzania tunakuja tugawane hizo medals.
Ithiopia hua ndo competition Yetu, hua wanatupa Joto sana kwa mbio ndefu.. Lakini mara nyingi hua tayari tushashinda medali nyingi kuwaliko, sasa hawa wa Ethiopia hua wanatuharibia overal medals hapo ndo hua inaleta shida.. Lakini after all hua tunachukulia kama hali ya mchezo woowte, whats the fun of winning if you dont have a rival, right?
MAranyengine wa ethiopia huja ku train nasisi na mara nyengine wanaridha kadhaa wa kenya wamesafiri Ethiopia kuona wanatrain vipi huko
 
Mechi zipi za kirafiki, wakati mkitangaza mbio za Kilimanjaro Wakenya huja na kunyakua kila kitu, labda hao ndugu zenu waje kufanyia mazoezi Kenya.
Try to be diplomatic mkuu, that was a bit too harsh
 
Ithiopia hua ndo competition Yetu, hua wanatupa Joto sana kwa mbio ndefu.. Lakini mara nyingi hua tayari tushashinda medali nyingi kuwaliko, sasa hawa wa Ethiopia hua wanatuharibia overal medals hapo ndo hua inaleta shida.. Lakini after all hua tunachukulia kama hali ya mchezo woowte, whats the fun of winning if you dont have a rival, right?
MAranyengine wa ethiopia huja ku train nasisi na mara nyengine wanaridha kadhaa wa kenya wamesafiri Ethiopia kuona wanatrain vipi huko
Ndio maana nikamwabia jamaa hapo mwanzo kwenye tread angesema Ethiopia ningemuelewa. Ethiopia wana training area nzuri for athletes, Kericho ni kuzuri, lakini Oromia kuna more challenging maintains na hali ngumu ya hewa kitu kinacho kinaongeza ujasiri mkimbiaji.
 
Try to be diplomatic mkuu, that was a bit too harsh

Hehehe!! Tatizo ndio ukweli huo, hata nikiupaka mafuta vipi utaonekana tu. Kwamba haiwezekani ukawa unaita Brazil waje kucheza mechi za kirafiki na Taifa stars huko Bongo, na kila wakija wananyakua ushindi kiulaini, inabidi na Taifa stars waende huko Brazil wakajue siri nini.
 
Ndio maana nikamwabia jamaa hapo mwanzo kwenye tread angesema Ethiopia ningemuelewa. Ethiopia wana training area nzuri for athletes, Kericho ni kuzuri, lakini Oromia kuna more challenging maintains na hali ngumu ya hewa kitu kinacho kinaongeza ujasiri mkimbiaji.
Kama ni kuzuri zaidi basi Ethiopia wangekua wakishinda zaidi, its that simple, kwasababu mahali ka iten kuna milima pia na hali ya anga iko shwari
Kuna wanaridah wengi sana wa kutoka nchi mbalia mbali wanaenda ku train kule iten hata sikuhizi kumeanza kujengwa 3 na 4 star hotels

Hata Jamaica na Kenya wako na mpango wa ku swap coaches, watupatie coaches was sprits (100m,200m,400m) na sisi tuwapatie coaches wa 800m,1,500m, 3000m, 5000m,10,000m.... kila coach afanye training kwa miezi kadhaa alafu warudi ma kwao ,...Kama ethiopia ndo ingekua mpabe basi jamaica ingefanya mipango na hao wala sio sisi PressReader.com - Journaux du Monde Entier
 
Wanaridha wa kenya waliposkia Tanzania nzima inatuma wanaridha wanane pekeyake
EZEKIEL-KEMBOI-LAUGHING.jpg

Anyway, Hio picha imepigwa leo, pale JKIA, team Kenya first batch ikifika kupanda ndege

RAYMOND-KIBET.jpg

JULIUS-KIRWA.jpg
Wapimwe hao wamesheheni midawa ya kusisimua misuli kwenye kila kona ya body cells, nani asiyejua you athletics are addicted to the dope.
 
Hakuna mwanariada anayeweza kuthubuti kuweka visisimua misuli akienda kushindana London au miji yoyotemikuu ya EU, kule wanachukulia serious, hata wale wanao chukua hayo madawa wanajua hivyo, London haswa pale hua hauwezi ukakula dawa yoyote ndio maana London 2012 Olympics inasifika mpaka leo manaake mbali na mashabiki walikua ngangari kuthibiti doping..
Ukienda london kama mwanaridha unapimwa damu ukishuka na kuingia hotelini, Ukitupa taka wale jamaa wanaenda kwa dusbit na kupima kila kitu ulichotupa wakitafuta madawa, Ukinya maji ukirusha chupa, hao wako nhuma wanaiokota na kuiweka kwa evidence pouch, kama kesho ndo unakimbia, wanarauka wanakubishia hotelini saa kumi na moja asubuhi wanakwambia tumekuja kwa random drug test..... alafu baadae baada ya kukimbia , Ukishinda wanangoja upumzike kidogo, ukiingia ndani ya chumba cha kubalisha nguo, ndio hao tayari wameshikilia shindano wanataka blood sample na saliva swap........... Alafu baadae wanachukua hizo sample zote zwalizochukua tangu siku ya kwanza pamoja na sampe yoyte nyengine ambayo wako nayo kwa rekodi ya michezo iliyopita na wanacompare kwa mashini, Kama kuna change yoyote kwa hormones, Red blood cell counts,...nk watakupata tu... ndio hua inajulikana kote, kama unataka kula midawa avoid major competions in big EU cities Paris, Berlin, and esp LOndon!
 
Wapimwe hao wamesheheni midawa ya kusisimua misuli kwenye kila kona ya body cells, nani asiyejua you athletics are addicted to the dope.
Hakuna mwanariada anayeweza kuthubuti kuweka visisimua misuli akienda kushindana London au miji yoyotemikuu ya EU, kule wanachukulia serious, hata wale wanao chukua hayo madawa wanajua hivyo, London haswa pale hua hauwezi ukakula dawa yoyote ndio maana London 2012 Olympics inasifika mpaka leo manaake mbali na mashabiki walikua ngangari kuthibiti doping..
Ukienda london kama mwanaridha unapimwa damu ukishuka na kuingia hotelini, Ukitupa taka wale jamaa wanaenda kwa dusbit na kupima kila kitu ulichotupa wakitafuta madawa, Ukinya maji ukirusha chupa, hao wako nhuma wanaiokota na kuiweka kwa evidence pouch, kama kesho ndo unakimbia, wanarauka wanakubishia hotelini saa kumi na moja asubuhi wanakwambia tumekuja kwa random drug test..... alafu baadae baada ya kukimbia , Ukishinda wanangoja upumzike kidogo, ukiingia ndani ya chumba cha kubalisha nguo, ndio hao tayari wameshikilia shindano wanataka blood sample na saliva swap........... Alafu baadae wanachukua hizo sample zote zwalizochukua tangu siku ya kwanza pamoja na sampe yoyte nyengine ambayo wako nayo kwa rekodi ya michezo iliyopita na wanacompare kwa mashini, Kama kuna change yoyote kwa hormones, Red blood cell counts,...nk watakupata tu... ndio hua inajulikana kote, kama unataka kula midawa avoid major competions in big EU cities Paris, Berlin, and esp LOndon!
 
Kama ni kuzuri zaidi basi Ethiopia wangekua wakishinda zaidi, its that simple, kwasababu mahali ka iten kuna milima pia na hali ya anga iko shwari
Kuna wanaridah wengi sana wa kutoka nchi mbalia mbali wanaenda ku train kule iten hata sikuhizi kumeanza kujengwa 3 na 4 star hotels

Hata Jamaica na Kenya wako na mpango wa ku swap coaches, watupatie coaches was sprits (100m,200m,400m) na sisi tuwapatie coaches wa 800m,1,500m, 3000m, 5000m,10,000m.... kila coach afanye training kwa miezi kadhaa alafu warudi ma kwao ,...Kama ethiopia ndo ingekua mpabe basi jamaica ingefanya mipango na hao wala sio sisi PressReader.com - Journaux du Monde Entier
Labda hujuwi tu, lakini kinachofanyika Kenya, Ethiopia kinafanyika pia. Namba kubwa ya watali (1millon) wanokwenda Ethiopia, wana kwenda kwajili ya kuona mambo ya kale kama dini and historia ya Wayahudi (Israel's). Lakini asilimia kubwa pia wanakwenda kwenye utali wa michezo. Sio kweli kama hawashindi medali, wao nguvu yao wameweka kwenye riadha (track and field). Kenya medali zenu mnachangana na michezo mwingine kama ngumi, mikuki nk.

Welcome to Yaya Village
 
na mkifanya hivyo tutafurahi kwani nyie ni wenzetu...ila Kenya kwa riadha ni kama Brazil na Germany kwa soka...sasa usi expect Australia kushinda Brazil kwa world cup final kwa urahisi....tunawapa kichapo cha mbwa uwanjani.. kabla mpate the first medal, we will have 26 medalsl...athletics powerhouses ndio hawa..
Kenya
Jamaica
USA
SA
Ethiopia

Naona mjadala unakwenda vizuri sana kwa data na facts ambazo zinazidi kuitia hamasa Tanzania kuwa hakuna kitu tutashindwa kufanya maana maandalizi ni mipango na tayari Tanzania imeanza kutajika tena katika riadha na idadi wa wanariadha-tajwa kimataifa inazidi kuongezeka. Kuna siku tutapeleka wanariadha 30 wenye muda mzuri katika mbio zao kimataifa kuweza kushinda medali zaidi.
 
Men's 10000 m leo saa tano usiku. Mo Farah kusuka au kunyoa? Msaada live link.
 
Back
Top Bottom