Riba ya mikopo benki itashuka lini?

Endelea kutembelea mpaka wakopaji binafsi lakini usijaribu kutegemea msaada wa serikali Endapou uchaguzi upo mbali
 
wabongo ndoto zitatuua
 
Nmb wanatoa 10% lakin kwenye kilimo.

Tulikubaliana hii ni inji ya wakulima.

Nyinyi wafanyabiashara mnaujanjaujanja mwingi endeleeni kulipa hizo 18%.

Kilimo kwanza.
Huo mkopo wa kilimo masharti yake yapoje
 
Kwahiyo watumishi wanakamuliwa kuliko wafanyabiashara
 
Hizo riba zinaweza ku rise muda wowote na msiwafanye kitu

NB:- tafuta mikopo ya hazina ni 0% ribaāœ“

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Hilo sahau mkuu. ,

Hii ni awamu ya wafanyabiashara

Riba ndio kwanza zitazidi kuongezeka.

Watatukamua awamu hii mpaka tujutie kumchagua Magufuli ni kama tunakomolewa yaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…