ngome1838
JF-Expert Member
- Feb 20, 2019
- 2,027
- 2,490
Endelea kutembelea mpaka wakopaji binafsi lakini usijaribu kutegemea msaada wa serikali Endapou uchaguzi upo mbaliNimetembelea mabenki matatu makubwa nchini bado riba inacheza 17%-19%.
Benki ya wazanzibari wao kidogo wana pungufu 12% - 16%
Tuliambiwa serikali imeingiza Trilioni 1 kwenye mzunguko na riba itashuka hadi 8% ila hadi leo kimya.
Shusheni riba watu tukope tukalime mahindi Katavi.