Riba ya mikopo benki itashuka lini?

Riba ya mikopo benki itashuka lini?

Nimetembelea mabenki matatu makubwa nchini bado riba inacheza 17%-19%.
Benki ya wazanzibari wao kidogo wana pungufu 12% - 16%
Tuliambiwa serikali imeingiza Trilioni 1 kwenye mzunguko na riba itashuka hadi 8% ila hadi leo kimya.
Shusheni riba watu tukope tukalime mahindi Katavi.
Endelea kutembelea mpaka wakopaji binafsi lakini usijaribu kutegemea msaada wa serikali Endapou uchaguzi upo mbali
 
Nimetembelea mabenki matatu makubwa nchini bado riba inacheza 17%-19%.
Benki ya wazanzibari wao kidogo wana pungufu 12% - 16%
Tuliambiwa serikali imeingiza Trilioni 1 kwenye mzunguko na riba itashuka hadi 8% ila hadi leo kimya.
Shusheni riba watu tukope tukalime mahindi Katavi.
wabongo ndoto zitatuua
 
Nmb wanatoa 10% lakin kwenye kilimo.

Tulikubaliana hii ni inji ya wakulima.

Nyinyi wafanyabiashara mnaujanjaujanja mwingi endeleeni kulipa hizo 18%.

Kilimo kwanza.
Huo mkopo wa kilimo masharti yake yapoje
 
Huo ni mkopo wa mlaji,Riba yake lazima iwe kubwa kote duniani.Consumer loans ni tofauti na Commercial loans.Riba ya mkopo lazima itoe faida ambayo inaweza kulipa gharama za kuendesha na kusimamia mkopo.Consumer loans lazima ziwe na Riba kubwa na serikali haijalenga kupunguza riba za consumer loans bali ni commercial loans.
Kwahiyo watumishi wanakamuliwa kuliko wafanyabiashara
 
Hizo riba zinaweza ku rise muda wowote na msiwafanye kitu

NB:- tafuta mikopo ya hazina ni 0% riba✓

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Hilo sahau mkuu. ,

Hii ni awamu ya wafanyabiashara

Riba ndio kwanza zitazidi kuongezeka.

Watatukamua awamu hii mpaka tujutie kumchagua Magufuli ni kama tunakomolewa yaani.
 
Back
Top Bottom