Riba ya zaidi ya bilioni 400 inatokana na Hayati Magufuli kugoma kuwalipa makandarasi kwa takriban miaka mitano

LAKINI MAMA KASEMA inatengenezwa na wajanja serikalinì ili wagawane. Ni mbinu ya upigaji
 
HAYO MARIBA YALIYOTOKANA NA MIKOPO YA AWAMU YA TANO, AWAMU YA SITA ISIUSIKE NAYO KABISA, ILA KAMA ITAWEZEKANA IWALIPE TU KILE KILICHOKUWA KIKIDAIWA ILI KUWARUDISHIA UWEZO.
 
Kwa kuongezea tu, ndege zikashikwa kwa madai yaliyofunguliwa Kimataifa na wawekezaji na wakandarasi ambayo hayajalipwa.

Ukweli hasara ni kubwa kuliko hiyo billioni 400 ya riba.

Nani kasahau?
 
Ngoja waje!
 
Kaacha maafa huku duniani atapataje amani huko?
 
Haaaaah uko mwishoni nimecheka asubuh subuhi Eti aliowakuta [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu mna maneno
 
Moto uongezwe kwenye tanuru analookwa huyo dhalim

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
SIONI USHUJAA WA MAGUFULI ZAIDI YA KULITIA TAIFA MABILIONI YA HASARA KWA MAAMUZI YAKE YA HOVYO
 
Mlipoingia tu mliwapa symbion 360 billioni bila bunge kupitisha. Mlishindwa nini kuwalipa wakandarasi.?

Bado mkasema mmewalipa wahindi billioni 300 na ushee ili wawasaidie kutambua mifumo mibovu tanesco.
 
Mlipoingia tu mliwapa symbion 360 billioni bila bunge kupitisha. Mlishindwa nini kuwalipa wakandarasi.?

Bado mkasema mmewalipa wahindi billioni 300 na ushee ili wawasaidie kutambua mifumo mibovu tanesco.
Punguza povu mkuu
 
Hiyo ndiyo sehemu ya legacy ya jpm! Majanga! Alipata kutamka kwenye mkutano wa Baraza la Biahara la Jumuia ya Afrika Mashariki kuwa sekta binafsi ni wezi tu! Huyo ni kiongozi wa nchi! Hakujua hata kuwa sera ya chama kilichomweka madarakani inatamka wazi kuwa sekta binafsi ndiyo injini ya uchumi.
 
Bora riba ya bil 400 lakini Taifa liliheshimiwa na hao wahuni kutoka nje kuja kushika tenda na kushirikiana na mawakala wao wahuni.

JPM aliwafanya watanzania waheshimike Afrika na Wageni waliwaheshimu Wenyeji.

Leo wageni ndio wanaotamba kwenye nchi yetu wakisaidiana na mawakala wa ushoga.

R. I. P JPM .
Sasa tumekuelewa
 
Makonda yuko wapi?
 
Je ndivyo ripotu ya CAG inavyosema au unatutoa kwenye kashfa ya ongezeko la bei za vifaa?

Unatiririka hujui pa kuanzia wala kuishia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…