Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAYO MARIBA YALIYOTOKANA NA MIKOPO YA AWAMU YA TANO, AWAMU YA SITA ISIUSIKE NAYO KABISA, ILA KAMA ITAWEZEKANA IWALIPE TU KILE KILICHOKUWA KIKIDAIWA ILI KUWARUDISHIA UWEZO.Hii wanaijua vizuri wakandarasi na watoa huduma serikalini. JPM aligoma kuwalipa kwa kisingizio Cha uhakiki, kwa miaka mitano alivyokuwa madarakani hakuwalipa, watu wakafilisika, benki zikauza Mali zao.
Sisi tukawa tunashangilia na kumpamba kwamba ni mzalendo hatujawahi kupata. Uzalendo wake na mapenzi yake makubwa Kwa Taifa, Sasa yanatugharimu bilioni 400 na zaidi, hiyo ni riba tu, bado deni halisi.
JPM, huko uliko, uliowakuta ndio wataamua unapumzika au hupumziki, na wataamua ni kwa amani au laa
Kwa kuongezea tu, ndege zikashikwa kwa madai yaliyofunguliwa Kimataifa na wawekezaji na wakandarasi ambayo hayajalipwa.Hii wanaijua vizuri wakandarasi na watoa huduma serikalini. JPM aligoma kuwalipa kwa kisingizio Cha uhakiki, kwa miaka mitano alivyokuwa madarakani hakuwalipa, watu wakafilisika, benki zikauza Mali zao.
Sisi tukawa tunashangilia na kumpamba kwamba ni mzalendo hatujawahi kupata. Uzalendo wake na mapenzi yake makubwa Kwa Taifa, Sasa yanatugharimu bilioni 400 na zaidi, hiyo ni riba tu, bado deni halisi.
JPM, huko uliko, uliowakuta ndio wataamua unapumzika au hupumziki, na wataamua ni kwa amani au laa
Ngoja waje!Hii wanaijua vizuri wakandarasi na watoa huduma serikalini. JPM aligoma kuwalipa kwa kisingizio Cha uhakiki, kwa miaka mitano alivyokuwa madarakani hakuwalipa, watu wakafilisika, benki zikauza Mali zao.
Sisi tukawa tunashangilia na kumpamba kwamba ni mzalendo hatujawahi kupata. Uzalendo wake na mapenzi yake makubwa Kwa Taifa, Sasa yanatugharimu bilioni 400 na zaidi, hiyo ni riba tu, bado deni halisi.
JPM, huko uliko, uliowakuta ndio wataamua unapumzika au hupumziki, na wataamua ni kwa amani au laa
Kaacha maafa huku duniani atapataje amani huko?Hii wanaijua vizuri wakandarasi na watoa huduma serikalini. JPM aligoma kuwalipa kwa kisingizio Cha uhakiki, kwa miaka mitano alivyokuwa madarakani hakuwalipa, watu wakafilisika, benki zikauza Mali zao.
Sisi tukawa tunashangilia na aafa huku juukumpamba kwamba ni mzalendo hatujawahi kupata. Uzalendo wake na mapenzi yake makubwa Kwa Taifa, Sasa yanatugharimu bilioni 400 na zaidi, hiyo ni riba tu, bado deni halisi.
JPM, huko uliko, uliowakuta ndio wataamua unapumzika au hupumziki, na wataamua ni kwa amani au laa
Moto uongezwe kwenye tanuru analookwa huyo dhalimHii wanaijua vizuri wakandarasi na watoa huduma serikalini. JPM aligoma kuwalipa kwa kisingizio Cha uhakiki, kwa miaka mitano alivyokuwa madarakani hakuwalipa, watu wakafilisika, benki zikauza Mali zao.
Sisi tukawa tunashangilia na kumpamba kwamba ni mzalendo hatujawahi kupata. Uzalendo wake na mapenzi yake makubwa Kwa Taifa, Sasa yanatugharimu bilioni 400 na zaidi, hiyo ni riba tu, bado deni halisi.
JPM, huko uliko, uliowakuta ndio wataamua unapumzika au hupumziki, na wataamua ni kwa amani au laa
SIONI USHUJAA WA MAGUFULI ZAIDI YA KULITIA TAIFA MABILIONI YA HASARA KWA MAAMUZI YAKE YA HOVYOHii wanaijua vizuri wakandarasi na watoa huduma serikalini. JPM aligoma kuwalipa kwa kisingizio Cha uhakiki, kwa miaka mitano alivyokuwa madarakani hakuwalipa, watu wakafilisika, benki zikauza Mali zao.
Sisi tukawa tunashangilia na kumpamba kwamba ni mzalendo hatujawahi kupata. Uzalendo wake na mapenzi yake makubwa Kwa Taifa, Sasa yanatugharimu bilioni 400 na zaidi, hiyo ni riba tu, bado deni halisi.
JPM, huko uliko, uliowakuta ndio wataamua unapumzika au hupumziki, na wataamua ni kwa amani au laa
🤣🤣🤣Sisi tukawa tunashangilia na kumpamba kwamba ni mzalendo hatujawahi kupata.
Mlipoingia tu mliwapa symbion 360 billioni bila bunge kupitisha. Mlishindwa nini kuwalipa wakandarasi.?Hii wanaijua vizuri wakandarasi na watoa huduma serikalini. JPM aligoma kuwalipa kwa kisingizio Cha uhakiki, kwa miaka mitano alivyokuwa madarakani hakuwalipa, watu wakafilisika, benki zikauza Mali zao.
Sisi tukawa tunashangilia na kumpamba kwamba ni mzalendo hatujawahi kupata. Uzalendo wake na mapenzi yake makubwa Kwa Taifa, Sasa yanatugharimu bilioni 400 na zaidi, hiyo ni riba tu, bado deni halisi.
JPM, huko uliko, uliowakuta ndio wataamua unapumzika au hupumziki, na wataamua ni kwa amani au laa
Hiyo ndiyo sehemu ya legacy ya jpm! Majanga! Alipata kutamka kwenye mkutano wa Baraza la Biahara la Jumuia ya Afrika Mashariki kuwa sekta binafsi ni wezi tu! Huyo ni kiongozi wa nchi! Hakujua hata kuwa sera ya chama kilichomweka madarakani inatamka wazi kuwa sekta binafsi ndiyo injini ya uchumi.Hii wanaijua vizuri wakandarasi na watoa huduma serikalini. JPM aligoma kuwalipa kwa kisingizio Cha uhakiki, kwa miaka mitano alivyokuwa madarakani hakuwalipa, watu wakafilisika, benki zikauza Mali zao.
Sisi tukawa tunashangilia na kumpamba kwamba ni mzalendo hatujawahi kupata. Uzalendo wake na mapenzi yake makubwa Kwa Taifa, Sasa yanatugharimu bilioni 400 na zaidi, hiyo ni riba tu, bado deni halisi.
JPM, huko uliko, uliowakuta ndio wataamua unapumzika au hupumziki, na wataamua ni kwa amani au laa
JPM, huko uliko, uliowakuta ndio wataamua unapumzika au hupumziki, na wataamua ni kwa amani au laa
LegasiWatetea legacy mpo?
Ataachaje kusumbua na wakati huo kaacha hasara Kila mahali?Jpm kafa ila anawasimbua sana .
Makonda yuko wapi?Bora riba ya bil 400 lakini Taifa liliheshimiwa na hao wahuni kutoka nje kuja kushika tenda na kushirikiana na mawakala wao wahuni.
JPM aliwafanya watanzania waheshimike Afrika na Wageni waliwaheshimu Wenyeji.
Leo wageni ndio wanaotamba kwenye nchi yetu wakisaidiana na mawakala wa ushoga.
R. I. P JPM .
Sasa tumekuelewa
Je ndivyo ripotu ya CAG inavyosema au unatutoa kwenye kashfa ya ongezeko la bei za vifaa?Hii wanaijua vizuri wakandarasi na watoa huduma serikalini. JPM aligoma kuwalipa kwa kisingizio Cha uhakiki, kwa miaka mitano alivyokuwa madarakani hakuwalipa, watu wakafilisika, benki zikauza Mali zao.
Sisi tukawa tunashangilia na kumpamba kwamba ni mzalendo hatujawahi kupata. Uzalendo wake na mapenzi yake makubwa Kwa Taifa, Sasa yanatugharimu bilioni 400 na zaidi, hiyo ni riba tu, bado deni halisi.
JPM, huko uliko, uliowakuta ndio wataamua unapumzika au hupumziki, na wataamua ni kwa amani au laa
Sijui anatokea upande gani huyu kilazaHalafu wewe umekaa kijingajinga sana na umalaya mwingi kama mtoto wa yatima!
Nawe ulifaidi.Kama mmeshindwa kazi, achieni Ikulu muwape wenye nguvu!
Mnachojadili kwa sasa kumhusu JPM ni upumbavu tupu!