Riba za mikopo kwa watumishi, CRDB na NMB

Duu si wenye inchi walisema kunabenk ya wakulima
Na yavijanaa
 
Uko
Vzuri. Ila hao maafisa mikopo hawazi kukupigia hvo hata cku moja . Techniqie za mikopo hzo atakuzungushaaaa mpaka uingie lain hlf utaelewa kwenye salary slip. Mikopo inasaidia kopa kwa malengo.
 
riba I = PRT/100
kama R= 17%
p= 12000000
T= 5
12000000x0.17x5= 10200000
riba kwa miaka mitano= 10200000
kwa hiyo ukichukua 12,000,000
riba kwa mwaka 10200000/5=2040000/=

utarudisha hela za watu 22200000/=
kwa miaka mitano
Kwa hiyo kiuhalisia unarudisha mara mbili ya hela uliyochukua
Hiyo 18% ni magumashi, mi naonaga inakuja 50% yaani ukichukua mkopo 12m jiandae kurudisha jumla 18m
Hapo kila mwaka wanakata asilimia 17% ya deni unalodaiwa kwa hiyo kwa miaka kama mitano inaweza hata kuzidi hiyo kutegemeana na makato
 
riba I = PRT/100
kama R= 17%
p= 12000000
T= 5
12000000x0.17x5= 10200000
riba kwa miaka mitano= 10200000
kwa hiyo ukichukua 12,000,000
riba kwa mwaka 10200000/5=2040000/=

utarudisha hela za watu 22200000/=
kwa miaka mitano
Milioni kumi na mbili,baada ya miaka mitano milioni 22 na laki mbili au,?? ,,,poleni mnaokopa ,,,
 
bank zinadanganya sana kuhusiana na riba ila kiukwel riba ni 50%
Benki hazidanganyi ila kinachotokea ni kwamba wanakuambia 18% kwa mwaka kwa miaka mitano tayari karibu 60% ya mkopo.
Ila wao wanazungumzia kwa mwaka
 
Mfano me nilichukua mil 10 nakatwa 253,000 kws miaka mitano mkuu so kwenye mkataba inaonekana mwanzo mwenga,ila crdb is the best kwa wote
15,180,000/=Kwa miaka mitano, Sio unachoshangilia,riba=~~45%
 
naomba nichangie kwa sehemu cha kwanza ni njia ambayo inatumika kupata riba ni ipi?kuna straight line na reducing hapo utagundua mkopo mmoja lakin utalipa riba tofaut kutokana na njia anayotumia kucharge riba.Pili kuna suala la bima inalipwa kila mwez au mara moja wakati wa kukupa mkopo.Mfano bank x wao riba ni 17% na bima wanakata kila mwez 2% so hapo watasema riba tu ila hlo la bima hawakwambii utakuta kiukwel unalipa 20% kwa mwaka na bank y wao riba ni 20% bima wanachaji unapopata mkopo tu. So suala la wap riba kubwa inategmeana pia na gharama zinazo ambatana na mkopo huo,Ieleweke ya kwamba ukikaa na hela za mkopo muda mfupi riba ni ndogo na ukikaa nazo muda mrefu na riba ni kubwa.Tulilamike riba kubwa tu je na hizo hela tunakaa nazo muda gan.
 
NMB wana makato yanaitwa bima ya mkopo! mfano ukichukuwa 5m utakatwa laki 3 na utapewa 4.7m! Riba inabaki kama kawa ya 5m. Mm nimewashit miaka 6 iliyopita
 
NMB wana makato yanaitwa bima ya mkopo! mfano ukichukuwa 5m utakatwa laki 3 na utapewa 4.7m! Riba inabaki kama kawa ya 5m. Mm nimewashit miaka 6 iliyopita

kitu ambacho ujue ni kwamba kias cha bima kiko subjected kwa muda wa mkopo sio fixed amount,nilichojifunza mie ktk mikopo hyo ni kwamba bima wana calculate hivi:

1)wanaochaji pale unapo pata mkpo ni
kiasi x asilimia ya bima x muda(mwaka 1,2,34 n.k)

2.wanachaji katika kiasi kilichobaki cha mkopo na utagundua hapa utaanza na makato ya riba makubwa na kadri mkopo ulishuka na bima inashuka

Na karibia taasisi zote zinazokopesha zina hii gharama ya bima
 
Hii mikopo itakua na manufaa kidogo sana kwa mkopaji ukilinganisha na bank
 
Chukua rejesho la kila mwezi, zidisha mara miezi ya mkopo halafu jumla yake toa na mkopo uliochukua. Jibu lake ndo faida yao bank.

Nb. Bank hizo riba yake ni 18-21%
 
Ukweli ni.kuwa riba ni tatizo na ndio maana watu wengi wanaishia.kupoteza nyumba na viwanja vyao. Sasa kwa mazingira hayo kweli kurejesha mkopo hasa ukute ni wakibiashara ambao utakuwa na riba kubwa zaidi si ndio itakuwa ishu zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…