Ricardo Momo: Yanga wana sababu za msingi kugomea mechi

Derby imepangiwa tarehe 15 Juni, 2025.
Hizi kelele za mitandaoni sidhani kama zitabadilisha chochote
 
Unaniuliza swali la kizuzu ili nikujibu?? Kama huyajui mashindano Simba aliyopo hilo sio jukumu langu kukujulisha....
Zuzu kabisa....
5imba yupo UMISETA au netball au shirikisho au mashindano ya akina mama
 
MSIMAMO UPO WAZI, HATUCHEZI!!!!!!



NB:Tuhuma zilizotolewa Tar 8 zichukuliwe hatua kwanza ndio yataongeleka
 
Chizi huyo nae.....kwani ulipofika muda wa mechi simba walitekeleza iyo dhamila yao au?
 
5imba yupo UMISETA au netball au shirikisho au mashindano ya akina mama
Yupo hatuchedhi hatuchedhi kombaini...
La wamama mlicheza nyie msimu uliopita...
Vipi mwaka huu mko kwny mashindano gani maana nasikia mnaitwa mwakakundi...
 
Yupo hatuchedhi hatuchedhi kombaini...
La wamama mlicheza nyie msimu uliopita...
Vipi mwaka huu mko kwny mashindano gani maana nasikia mnaitwa mwakakundi...
Yanga hii sio ya kucheza shirikisho
Huko tumewaachia 5imba na Coast union
Yanga ni champion material
 
Umesema ukweli mtupu mkuu, ila simba ndio wenye tfff yao sasa

Naunga mkono hoja hakuna kupeleka timu
 
Yanga amekufunga mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5
Hizo zote marudio....hakuna jipya hapo ambalo mnyama hajawahi fanya....hatu hatu hatu fc.....
Mara nne labda kama kijili ni mchezaji wenu
 
Naona unashindilia shimoni kama Manara vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…