Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,302
- 35,824
Acha kujidanganya,simba kamwe hawezi kumfunga Yanga nyakati hizi,naombea sana hizi timu 2 zikutane fainali ya crdb,Yanga bado ni timu boraKombe la ligi si furaha ya wanaSimba. Simba imeshabeba sana hilo kombe. Kuna furaha inatafutwa ya aina nyingine.
Ukweli mchungu sana huu."Kwa mfano Nikikuuliza Kosa la Yanga ni Lipi utanijibu Nini? wanacholalamikia Yanga kipo
Katika sakata Hili naona kabisa kuna kubebana Siwezi kuficha, Simba walitoa Taarifa Usiku wa Manane Kugomea Mchezo tukaona asubuhi yake Bodi ya Ligi wakaja wakaahirisha Mchezo Bila Sababu za msingi.
Hawa ambao waliobebwa (Simba) Sasa hivi wanatoa kelele Nyingi kwanini Tarehe 8 mlikataa Kucheza mechi mnaishupalia hii ya Tarehe 15 June mmesahau kuwa mlikimbia mechi?.
Hii nguvu iliyotumiwa na Bodi ya Ligi Kuandika Bango kubwa kuwa Tarehe 15 June kutakuwa na Mchezo,kwanini isingetumika kuwashinikiza Simba Wacheze Tarehe 8, power hii ilitakiwa watuonyeshe tangu Siku ya kwanza.
Jumatatu ufanye mazoezi mpaka ijumaa eti mazoezi ya Nusu saa Siku Moja kabla ya mechi Ndio iwe Sababu ya Kugomea Mchezo sasa hivi wanajifanya wanataka kupita Humu humu kuonyesha kama wao hawana Makosa.
Ukikaa Upande wa ushabiki hivi Vitu huwezi kuvielewa ila Ukikaa Upande wa Mpira Utakuwa Umenielewa...Maoni yangu Yanga Wasitie Timu Uwanjani June 15".
Nimeshaiweka Kwenye Post za Nyuma Fuatilia..Iandike hapa
Kulingana na Barua Ya Kuahirisha Ilikuwa ni 34:1 (1.3) Soma Barua Ya Kuahirisha MechiMchezo wa march 8 ulighairishwa kwa tukio lipi kati ya hayo ya kwenye kanuni?
Taka hiyo sababu ya msingi ya TFF kuhairisha mechiNimeshaiweka Kwenye Post za Nyuma Fuatilia..
View attachment 3326468
Sababu ya Simba Ilkkuwa Ya Msingi kwa TFF na Huenda haikuwa ya Msingi kwa Yanga ila kwa TFF ilikuwa ya Msingi so kwa Mujibu wa Kanuni tayar mi Haki ya Kuahurisha Mechi
Sasa Hiyo sababu ya Msingi Alipaswa Kuulizwa TFF na Ndo maaan hata CAS wameshindwa Kuamua Hiyo kesi kwa sababu sababu ya Msingi anayo TFF na Bodi ya Ligi ambayo Nyinyi Mmesema Hamna Imani nayo..Taka hiyo sababu ya msingi ya TFF kuhairisha mechi
Sasa huo ndo uhuniSasa Hiyo sababu ya Msingi Alipaswa Kuulizwa TFF na Ndo maaan hata CAS wameshindwa Kuamua Hiyo kesi kwa sababu sababu ya Msingi anayo TFF na Bodi ya Ligi ambayo Nyinyi Mmesema Hamna Imani nayo..
Kwahyo maana Yake Hata wakitoa sababu gani hamtaridhika nayo
Hayo mambo ya kufurahia kufunguna kwenye dabi tumewaachia nyie mkuu , sisi tunataka makombe makubwa makubwa.Acha kujidanganya,simba kamwe hawezi kumfunga Yanga nyakati hizi,naombea sana hizi timu 2 zikutane fainali ya crdb,Yanga bado ni timu bora
Na hao marefa wanaotembea na 5imba kila matche utawafanyaje?Hili sakata jepesi kama karatasi, Yanga isaidie kamati za ufundi timu zenye viporo na makolo, tuwatie mpunga wapinzani wa simba timu zikomae na angalau moja ishinde makolo au zipatikane droo mbili tu, then sisi uto tushinde mechi zetu zote kisha derby tunafika pre match na mechi kamili hatuji, ili makolo wapewe points tatu na magoli matatu, kimsingi tunahitaji Simba idondoshe points tatu tu kwisha kazi japo na wao wameshanunua mechi zote kwa marefa wa tff na kuwatia mfukoni CAS.
Lazima heshima iwepo mjini derby uto hatuchezi hata aje ibilisi au malaika, huu ujinga si level za uto, hatucheeeeziiiiii.
Ruksa kusema uto wenye akili ni wawili tu.
Hawa wanauliza maswali ya kipumbavu mpk unashangaa sasa kama hawajaridhika na maelezo ya TFF... wakae kwa kutulia...
Rage ni kichaa Kama walivyo utopoloHuyo ndo aliwapa jina la mambumbumbu
Mje na point za msingi msituletee porojo.Umejionyesha ulivo mbumbumbu yaani mwanachama hai wa Rage
Nakupuuza
Mkumbo ni mubaya tulishawai mgomea teacher akasema twende staff ebwana ebwana mnaelewa walimu wa hesabati walivyo na mdomo na mbwembwe mixer teacher ni mwana mama uwii"Kwa mfano Nikikuuliza Kosa la Yanga ni Lipi utanijibu Nini? wanacholalamikia Yanga kipo
Katika sakata Hili naona kabisa kuna kubebana Siwezi kuficha, Simba walitoa Taarifa Usiku wa Manane Kugomea Mchezo tukaona asubuhi yake Bodi ya Ligi wakaja wakaahirisha Mchezo Bila Sababu za msingi.
Hawa ambao waliobebwa (Simba) Sasa hivi wanatoa kelele Nyingi kwanini Tarehe 8 mlikataa Kucheza mechi mnaishupalia hii ya Tarehe 15 June mmesahau kuwa mlikimbia mechi?.
Hii nguvu iliyotumiwa na Bodi ya Ligi Kuandika Bango kubwa kuwa Tarehe 15 June kutakuwa na Mchezo,kwanini isingetumika kuwashinikiza Simba Wacheze Tarehe 8, power hii ilitakiwa watuonyeshe tangu Siku ya kwanza.
Jumatatu ufanye mazoezi mpaka ijumaa eti mazoezi ya Nusu saa Siku Moja kabla ya mechi Ndio iwe Sababu ya Kugomea Mchezo sasa hivi wanajifanya wanataka kupita Humu humu kuonyesha kama wao hawana Makosa.
Ukikaa Upande wa ushabiki hivi Vitu huwezi kuvielewa ila Ukikaa Upande wa Mpira Utakuwa Umenielewa...Maoni yangu Yanga Wasitie Timu Uwanjani June 15".
Sisi ndiyo Simba SC AKA;SAsa Hilo swala Kuna Haja ya Kuwalaumu Simba kweli??
Kama Bodi ya Ligi wangesema Mechi unachezwa Unahisi Mbgekuwa Hamna Point mpaka sasa?
Simba walisema hawachezi ila hawakuhairisha mechi, bodi ya ligi ndio walioahirisha mechi, ilipaswa bodi ya ligi isimamie uwamuzi wake wa kusema mechi ipo.Iliahirishwa saa ngapi !?? Simba barua Yao ya kusema hawatoscheza ni ya saa ngapi!?? Mbona mnajitoa ufahamu... Mpaka mchana inahairishwa bodi ya ligi walisema mechi ipo ..wakati Simba walisema jana yake usiku hawachezi ....
Usichoelewa hii ishu itamalizwa kisiasa kama ishu ya FEI TOTO ilivyomalizwa, kauli moja tu kutoka jumba jeupe fei akaenda AZAM, subiri sasa uone yanga akileta timu tar15.Imeisha hiyo cheza na Karia mbumbumbu mwenzenu
Msimamo wenu ishu ya FEI uliishia wapi?Mwanaume ni msimamo
Bora wewe nimekuelewa....Simba walisema hawachezi ila hawakuhairisha mechi, bodi ya ligi ndio walioahirisha mechi, ilipaswa bodi ya ligi isimamie uwamuzi wake wa kusema mechi ipo.
Kwenye hili sakata naunga mkono maamuzi ya timu zote mbili, Simba walitaka kukomesha mambo ya makomandoo na yanga wanataka kukomesha ujinga wa tff na bodi ya ligi, huwezi ahirisha mechi kizembe vile.
Ingawa yanga sidhani kama watatoboa siasa ikiingilia kati.
Sijazungumzia kumfunga Yanga. Shindeni tu.Acha kujidanganya,simba kamwe hawezi kumfunga Yanga nyakati hizi,naombea sana hizi timu 2 zikutane fainali ya crdb,Yanga bado ni timu bora