Rice cooker 1.8 l itaweza tumia umeme wa units 14 sawa na 5000 kwa siku 30

Rice cooker 1.8 l itaweza tumia umeme wa units 14 sawa na 5000 kwa siku 30

W700 hio cooker inayo,
Kwa kawaida wali unapikwa nusu saa hadi dakika 40,
Kwa kuwa utapika mara mbili, maana yake ni saa moja hadi na nusu,
Means kwa siku utatumia 1 Unit kwenye rice cooker, sawa na unit 30 kwa mwezi,
Unit moja inauzwa 357Tsh,
Kwa mwez utatumia

357 X 30 = 11,000/- Tsh kwa ajiili ya umeme wa cooker
Sahihi
 
Akuna haja ya kupika mara mbili unapika chakula ya asubuhi na jioni Kwa pamoja then Ile jion unacook for 15 minutes mambo tayari. Ikipendeza nunua multi cooker Ili upike kila kitu Ina sevu time sana . Cha muhimu zingatia kutumia maji moto Kwa ajili ya kupika hapo wengi ndo awajui Hilo.
 
RICE COOKER NAYO TUMIA NIMEKUTA CHINI IMETOBOKA YAANI IMEUNGUA KWA CHINI ILA NI KITOBO SIJUI NINI TATIZO NI KAMA SIKU MBILI HIVI JANA NIKAGUNDUA NILIPOKUWA NAIFANYIA USAFIII
 
Megawatt
Iko hivi Dogo, Unit moja ni sawa na Megawatt 1000 used per 1 hour.
Kwa hiyo kama una Device labelled 700watts maana yake ukiiwasha for 1 unatumia 0.7unit ≈ 1unit......so unaweza kuhesabu kama utatumia dakika 20 badlaa ya dakika 60.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom