Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hahah nimekwambia nimekosea matamshi i meant watts instead of MegawattsKwa hesabu hizi bwawa la Nyerere linazalisha unit 2 Kwa siku sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah nimekwambia nimekosea matamshi i meant watts instead of MegawattsKwa hesabu hizi bwawa la Nyerere linazalisha unit 2 Kwa siku sio?
SahihiW700 hio cooker inayo,
Kwa kawaida wali unapikwa nusu saa hadi dakika 40,
Kwa kuwa utapika mara mbili, maana yake ni saa moja hadi na nusu,
Means kwa siku utatumia 1 Unit kwenye rice cooker, sawa na unit 30 kwa mwezi,
Unit moja inauzwa 357Tsh,
Kwa mwez utatumia
357 X 30 = 11,000/- Tsh kwa ajiili ya umeme wa cooker
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Iko hivi Dogo, Unit moja ni sawa na Megawatt 1000 used per 1 hour.
Kwa hiyo kama una Device labelled 700watts maana yake ukiiwasha for 1 unatumia 0.7unit ≈ 1unit......so unaweza kuhesabu kama utatumia dakika 20 badlaa ya dakika 60.