Rich Gang; Huyu Ndo Jack Pemba Bwana

Huyu jamaa ninamkumbuka alikuwa mkali wa break dance miaka hiyo ya 19 kweusi, pamoja na kaka yake Eliud Pemba, mjengoni tulikuwa tunawaachia nafasi kwakweli.
Jack Pemba hajawahi kuwa break dancer,utakuwa umechanganya
 
Hajachanganya ni yeye alikua anajua kuvunja hakumaanisha dancer as Black Moses au Jobiso nk
Steve Jobiso.

Umenikumbusha mbali mno....Tulikuwa nae mtaa mmoja Ilala akaacha shule darasa la mbali kisa kucheza dance.

Alikua maarufu mno wakati ule...hatuna raha mtaani.
 
Steve Jobiso.

Umenikumbusha mbali mno....Tulikuwa nae mtaa mmoja Ilala akaacha shule darasa la mbali kisa kucheza dance.

Alikua maarufu mno wakati ule...hatuna raha mtaani.
Kuna Jobiso original na dogo alikua anajiita Jobiso nadhan ndio uliyesoma naye mama yake alikua dancer pia alidanganywa na Defao anamchukua kumlea
 
msijifanye mnajua watu humu ndani-kwao aliyekuwa akicheza breakdance ni Chuche pake yake
Lakini hawajafanya mbaya sana, hata kama wamekosea sana lakini kuna harufu ya kumjua mhusika kwa kuwa ndugu yake ndio dancer (tusisahau hapa kulikuwa na mtindo wa kutembelea nyota ya ndugu, zile za kuanzisha kiaina alafu Chuche anamaliza, sasa mkienda uswahili mtaonekana wote mpo vizuri)
 
Kuna Jobiso original na dogo alikua anajiita Jobiso nadhan ndio uliyesoma naye mama yake alikua dancer pia alidanganywa na Defao anamchukua kumlea
Yeah mkuu itakuwa ndio huyo ninaesema Steven Jobiso ambae mama ake alikuwa Dancer pia.

Huyo Jobiso mwingine sijawahi kumjua.
 
Ukiwa na nyota ya pesa huyu Jack anayo kuna kipindi Alichoka mbaya sasa karudi tena I hope atakuwa wise this time. Jack alikuwa footballer.mzuri sana nilimjua Shaaban Robert kabla kufukuzwa kwenda Kinondoni. Break dance kabda utotoni
 
Alikwenda Uingereza akadate bint ambae baba yake ana club ya mpira, mzee alimwambini Jack mazima kuja kuendeleza football Tanzania, alitegemea atajenga academy wawe wanachukua vijana moja kwa moja kwenda kucheza Ulaya.
 
Yeah mkuu itakuwa ndio huyo ninaesema Steven Jobiso ambae mama ake alikuwa Dancer pia.

Huyo Jobiso mwingine sijawahi kumjua.
Kuna Jobiso original last time nilimuona ni Mc Promo za Windhoek
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…