Rich Gang; Huyu Ndo Jack Pemba Bwana

ndo maana ana mastori ya mashosti kibao
 
[emoji3][emoji3][emoji3]japo faiza foxy nahisi kwa sasa kaamua kuishi mkulanga maana fujo za Dar yenu haziwezi tena
 
Nilikua Kampala mwaka jana octoba. Siku moja alhamisi nikaenda club moja, ilikuwa maalumu kwa vijana wa chuo. Jack Pemba alikuwa na eneo lake maalumu, amezungukwa na warembo wakali pamoja na walinzi. Wasanii mbalimbali akiwemo Navio waliperform. Ikafika zamu ya Pemba kwenda kutunza pesa, wewee, jamaa alimwaga fedha balaa hadi vijana wa Makerere wakaribie kuuana kwa kukanyagana kugombea pesa!
 
doh! hii sio kweli mkuu....alikuwa anaishi uingereza maisha ya kawaida ya box akazaa na mzungu akapata uraia wa uingereza. utajiri wake sio wa halali unatokana na black market escrow. wanaija wanaita 419.
Ni kweli mkuu, ex mke wake ni mtoto wa Freddy Shepherd
 
Ni kweli mkuu, ex mke wake ni mtoto wa Freddy Shepherd
Freddy Shepherd ni mmoja wa mamilionea alikuwa chairman wa Newcastle united ila hana uhusiano wowote na Ex wa huyo Jackie.... labda kama wana undugu kwa mbali....
 
Freddy Shepherd ni mmoja wa mamilionea alikuwa chairman wa Newcastle united ila hana uhusiano wowote na Ex wa huyo Jackie.... labda kama wana undugu kwa mbali....
Afadhali umesema wewe?? mimi sijui hizi habari zinatoka wapi?
 
Huyu jamaa ninamkumbuka alikuwa mkali wa break dance miaka hiyo ya 19 kweusi, pamoja na kaka yake Eliud Pemba, mjengoni tulikuwa tunawaachia nafasi kwakweli.
Eliud?,kuna kipindi alikuwa anashughulika na kufanya video shooting,walikuwa wanaishi Upanga?...nadhani ni yeye...daaah Madamee heshima yako sana.
 
Huyu jamaa ninamkumbuka alikuwa mkali wa break dance miaka hiyo ya 19 kweusi, pamoja na kaka yake Eliud Pemba, mjengoni tulikuwa tunawaachia nafasi kwakweli.

kwani anafanya shughuri gani..?
 
Eliud?,kuna kipindi alikuwa anashughulika na kufanya video shooting,walikuwa wanaishi Upanga?...nadhani ni yeye...daaah Madamee heshima yako sana.
Ya na alifanya kazi Bima, pia walikua na kaka anaitwa Martin, ninakumbuka tuliwafupisha kama Mape (Martin Pemba) na Elpe (Eliud Pemba).
 
Ya na alifanya kazi Bima, pia walikua na kaka anaitwa Martin, ninakumbuka tuliwafupisha kama Mape (Martin Pemba) na Elpe (Eliud Pemba).
Mara ya mwisho Eliud nilimuona alikua anafanya kazi Itv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…