Rich gang members wamwaga mamilioni ya pesa kaburini kwa Ivandon

Ingekuwa TZ wangesimamisha mazishi serikali ikakusanya pesa hizo kwa ujenzi wa wodi,ahaahaa,M7 yuko wapi?Tz wanazitamani!!
 
Rami=Lami
 
Sasa familia ngapi wenye hali duni wangenufaika na hizo hela. Ningefurahi Museveni angelizungumzia hilo, na wote waliofanya hivyo kuchunguzwa walivyo zipata hizo hela, maana hawana uchungu nazo na sio watu wenye huruma ama imani
washasaidia sana familia maskini
 
Umeona..wanataka kusababisha kaburi lifukuliwe. Na hao walioweka pesa hawajamtendea haki marehemu. Na sidhani aliwaambia wafanye hivyo siku akifa.
ile ni respect kwa bosi wao mbona fresh tu
 
Watanzania tumestaarabika zaidi ya waganda tulitakiwa tulikemee hili kwa nguvu zote sio kuwapa kick, mijitu mijinga kabisa leo ndio nimewadharau waganda na vipesa vyenyewe vya Uganda wengemwaga $ tuone, sifa za kijinga tu.
 
Kama mwenyekiti wa Rich Gang Members nasema


" MSITUPANGIE NAMNA YA KUTUMIA HELA ZETU, TENA MKITUKOSOA NDIO MNAHARIBU KABISA,Watch out your Comments "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…