cheguevara
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,348
- 652
Ingekuwa TZ wangesimamisha mazishi serikali ikakusanya pesa hizo kwa ujenzi wa wodi,ahaahaa,M7 yuko wapi?Tz wanazitamani!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rami=LamiZinaweza zikawa ni feki tu... Ila kama ni za kweli huo ni upuuzi wa kiwango cha rami na yawezekana pia hizo sio pesa halali.. Si ni bora hizo pesa wangepeleka kwenye any charitable organization kumuenzi boss wao.. Aisee huu ni ujinga wa hali ya juu sana..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wangekuwa limbukeni wangezikamata ngawira zote hiZo ambazo wewe huna.
Safari ya kwenda wapi?Tuna safari ndefu sana ambao tumetokea familia za kipato cha kati au kidogo pale tunapopata pesa (hasahasa za haramu)
Humu kuna watu wamewafahamu juzi juzi tu ndio maana wanapinga pesa kumwagwa hivyo
Mil 30 ya Uganda ni sawa na Tsh mil 18.5 Kwa rate ya 1.62
KUTOKA KWENYE MAZISHI UGANDA
KUTOKA KWENYE MAZISHI UGANDA...... pesa zaidi ya 30 mil zamwagwa ndani ya kaburi la Ivan Don... Kabla ya genezaView attachment 516716View attachment 516717View attachment 516718 kuwekwa....!! Ni balaaaaa.....
View attachment 516719
Rich gang members wakimwaga pesa kaburini kama ishara ya kumuaga boss wao
View attachment 516721
leo wanafunga ac na wanaajiri walinzi kabisaaaaaNinavyowajua wa-Ganda labda jeshi la polisi lihamie hapo
washasaidia sana familia maskiniSasa familia ngapi wenye hali duni wangenufaika na hizo hela. Ningefurahi Museveni angelizungumzia hilo, na wote waliofanya hivyo kuchunguzwa walivyo zipata hizo hela, maana hawana uchungu nazo na sio watu wenye huruma ama imani
ile ni respect kwa bosi wao mbona fresh tuUmeona..wanataka kusababisha kaburi lifukuliwe. Na hao walioweka pesa hawajamtendea haki marehemu. Na sidhani aliwaambia wafanye hivyo siku akifa.
kazi ya serikali si yaoUlimbukeni tu, huduma za kijamii duni Sana Uganda, wangezipeleka huko
Yapi njia ya kwenda Kabellele, njia panda ya kwenda Jinja, mita 200 toka round about.
We ulishafikako ukoKungekua na nafasi ya kufufuka kutoa neno la mwisho. Jamaa angewaambia acheni ndugu zangu,mnaniumiza huku nilipo.