Kijiografia Uganda na Kagera (Bukoba) ni sehemu moja.Nyerere tu alilazimisha kuichukua Kagera kutoka Uganda na kuileta Tanganyika.
Idd Amin alikuwa sahihi kuing'ang'ania Kagera...Ili kumfahamu vizuri mtu mweusi wa Afrika,na hasa "MBANTU" wa "Interlacustrine Region" yaani eneo la Banyankole,Buganda na Kagera...Basi pitia tu hata hints za "CULTURAL ANTHROPOLOGY"
Hata Wazungu waliokuja kama Wapelelezi waliliona hili linalofanywa na hawa "Rich Gang Members".Mmisionary alipokuja Tanganyika kutokea Zanzibar,aliruka mikoa yoooote,akaweka makazi kwanza pale "Rubya-Bukoba" kabla ya kwenda sehemu nyingine.Aliisoma vema report ya wale "Explorers"