Rich Mavoko acha roho mbaya na ukiendeleza hutofanikiwa abadani

Duh kwel
 
Duh,mtoto wa kiume huyu mara Leo Diamond kesho mayweather pretty kijana kafikiche tundu hilo unatakiwa km uko sawa.TafutaKazi
 
Mavoko anajielewa. We jamaa mchonganishi bila ubishi uliishi kambini
 
Ukiona hivyo kijana hataki kubezi upande mmoja anataka kazi zake zichezwe kote kote
Mfano.
Nakumbuka Rama dee aliingilia tofauti ya Ruge na Sugu kisa Sugu rafiki yake walivyopatanishwa yeye hakawa hana pa kwenda.
umewaza nililotaka kusema safiiii sana maana akiegemea na mziki wake kupoteea
 
Ramli chonganishi hizi...kwani we ni nani huko wcb? Au ndio msemaji wao? Kama huhusiki basi huu ni umbea ambacho kwa mwanaume sio kitu kizuri...
 
Duuh! Hata sielewi lengo lako ni nn hasa? Haya peleka malalamiko kwa boss wake.
Sijui tukusaidiaje? Shwain kabisa
 

PAMBANA NA HALI YAKO ILA USIISUMBUE HALI YA MAVOKO NA LAVALAVA....badilisha AVATAR weka logo ya wasafi tv kwanza.
 
mkuuu uliyo yaongeyaga ndo aya yameshafika kajama kana roho mbaya sanaaa
 
Licha ya kuwa ni kweli Mavoko ana jeuri,kiburi,mtu wa wivu sana pamoja na GUBU but humtendei haki una muandama sana....
 
Mbona povu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…