Rich Mavoko hana furaha ndani ya WCB ingawaje imemletea mafanikio ya muda mfupi

Siri ya mafanikio ni kujiamini ,uthubutu na kujituma mambo ya kutegemea flani ndio akutoe ni magumu sana,wengi wanakuwa na vinyongo na kutaka kufaidika kupitia were,
Njia ni moja tu kujisimamia
 
wanayesema ameshinda matuzo ya BET ndio yupi hapo? nyinbo zake ni zipi?

samahani kwa usumbufu.
 
Huyo mwanamke ambaye yuko uchi anauza au?,kama anauza tafadhali nipm contact zake tufanye biashara.
 
Hii ndo inaitwa nipe headline,nitengeneze habari......we jamaa utakua unaishi Tandale au Mbagala af sidhan kama hata f4 umemaliza....wabongo bwana kwa umbea!
 
Mavoko alikua hot kabla hajaja hapo,ametoa vibao vizur sana kabla hajasign hapo WCB ukisema alikuwa anaenda shimoni [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56] unaongeza chumvi BAHARINI.

Kuhusu kunyanyapaliwa naona ni mtazamo na ukisema hana furaha means amekwambia au ulimnukuu somewhere hujasema wapi amesema,wimbo wake wa 1 WCB ibaki stori, but alikua na nzuri kabla ya huo ikiwemo KUCHAPIWA SIRI YA NDANI
 
Soma vizuri thread kisha angalia tena ulichokiandika
 
Back
Top Bottom