Rich Mavoko hana furaha ndani ya WCB ingawaje imemletea mafanikio ya muda mfupi

Rich Mavoko hana furaha ndani ya WCB ingawaje imemletea mafanikio ya muda mfupi

Na ndo maana unaeza ona ata akina harmonize....anaanza kuleta visababu vya kumpelekea achaane na wcb ....ko ata mavoko pia yupo yupo tu...WCB pagumu xna .......ata ivo mavoko anaeza mzikii.com
 
HII YOTE NI KWASABAB MAVOKO YUPO WCB NA SABAB KUBWA WCB IPO UNDER PLATNUMZ KWAHYO WALE WOTE HATERS WA PLATNUMZ LAZMA WAONGELEE NEGATVTY JUU YA MAVOKO...!
 
Wakati anakwenda pale tulisema tukaitwa Hater.....Sehemu ambayo alikuwa amefika Mavoko alihitaji awe na Label yake binafsi.

Wakati fulani alikuwa Level Moja na kina Ommy Dimpoz na Diamond ila wenzake wakamuacha nyuma mpaka Leo hii Mavoko anapangiwa style ya kuimba na kina Harmonise.

Bahati mbaya ana mkataba wa miaka 10 pale Wcb huku mashabiki wakimuhitaji Mavoko yule wa Pacha Wangu,Roho yangu,Nina Imani,Marry Me na Follow ni Either arudishe style yake ya zamani au hapotee
 
Huyo msichana mbona hajavaa nguo?
Anapendaga kuvaa upati
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

IMG_20170709_012812_678.JPG

IMG_20170709_012746_931.JPG
 
Queen d hicho kibukta anyway nitamtafuta kwa matumizi binafsi
 
Mavoko ni msanii mkubwa sana kuwa chini ya Diamond..

Kama kuna asiyejua hili basi ama ni mnafiki au ana mahaba binafsi tu..

Rich amekosa ile ngekewa tu ila ni 'mkubwa'kuliko yeye anavyojitazama!
 
HV huu muda wa kujua Mara wcb sijui kuna hiki Mara kile mnatoa wapi au ndo wanaume ubuyu
 
Mavoko ni msanii mkubwa sana kuwa chini ya Diamond..

Kama kuna asiyejua hili basi ama ni mnafiki au ana mahaba binafsi tu..

Rich amekosa ile ngekewa tu ila ni 'mkubwa'kuliko yeye anavyojitazama!
Rich mavoko kuwa kwny lebel ya mond ni kosa ila ommy kusainishwa kwny lebel ambayo kiba ni miongoni mwa vioongozi pale ni kawaida tu watu hata hamlioni punguzeni mihemuko.......kuhusu kukosa raha izo ni personal feeling huwezi jua kuwa huyu mtu hana raha mpk pale atakaposema mwenyewe
 
Wakati anakwenda pale tulisema tukaitwa Hater.....Sehemu ambayo alikuwa amefika Mavoko alihitaji awe na Label yake binafsi.

Wakati fulani alikuwa Level Moja na kina Ommy Dimpoz na Diamond ila wenzake wakamuacha nyuma mpaka Leo hii Mavoko anapangiwa style ya kuimba na kina Harmonise.

Bahati mbaya ana mkataba wa miaka 10 pale Wcb huku mashabiki wakimuhitaji Mavoko yule wa Pacha Wangu,Roho yangu,Nina Imani,Marry Me na Follow ni Either arudishe style yake ya zamani au hapotee
Rich mavoko kuwa kwny lebel ya mond ni kosa ila ommy kusainishwa kwny lebel ambayo kiba ni miongoni mwa vioongozi kweny hiyo lebel siyo kosa some time tupunguzeni mihemuko.......kuhusu kukosa raha izo ni personal feeling huwezi jua kuwa huyu mtu hana raha mpk pale atakaposema mwenyewe
 
Duh

Kuchukua picha mtandaoni na kujiandikia eeeeeh

Kama hakuwepo walipo kikazi!?

Kituko kiroja
 
Back
Top Bottom